Tukiwasema mnatoa povu, ona sasa!

Tukiwasema mnatoa povu, ona sasa!

Mfano mdogo tu......kuna wanaume huwa wakishampa msichana mimba anamkimbia na kumuacha ateseke mwenyewe

Mengine mnajijua
Na wewe mwanamke ulikubalije kushika mimba na ujanjua kabisa hakuna utaratibu wowote wa maana ulifanyika.!! Sio kila mahusiano ubebe mimba !! Akuoe kwanza ndio ushike mimba ! Wengine wanafikiriaga mimba ndio utakuwa kifungo kwa mwanaume ili aweze kukuoa, wengine ukiwapa mimba ndio maisha yako yamekwisha !! Kwanini tusikimbie.... Unapewa gharama utafikiria wewe ni Ka Benk kadogo..!!
 
Wanawake bana, wtt wa3 ndoa ya nini ? Tafuta hela jioe mwenyewe. Ndoa waachieni wasichana
 

Najaribu kumuonea huruma ! Sababu iliyomfikisha hapo ni moja kati ya hizi !

1. Wanaume atutaki kuhumizwa vichwa.

2. Wanawake wamekuwa wakibadilika ndani ya ndoa mpaka unajiuliza yule mwanamke niliyeoa kapotelea wapi.

3. Tamaa za maisha, kila MTU anataka kuishi kama Fulani !

4. Jamii ya sasa imekosa malezi sahivi kwa vijana, tunaishi kwa kujifunza wenyewe, Yale mambo ya wazee wetu walipewa jandoni hayako tena.

5. Mafundisho hasa ya mahusiano yamekosekana kwa vijana, tunafanya maamuzi bila kushirikisha uwepo wa mungu.

6. Vijana tuafanya maigizo ya maisha ! Badala ya kuishi maisha halisi...

7. Jamii imejaa upotofu juu ya maisha, vijana tumekuwa tukidanganyana sana.

8. Mabadiliko ya "technology " na vijana atukuandaliwa kukabiliana nayo...
9.
 
Siyo kila mtu ni mhenga kama wewe. Wengine ndiyo kwanza tunaiona.

BTW, hata ikirudiwa mara 1000 kuna shida gani?
Yah haujakosea......ila unajua iliwekwa lini hapa???

Samahani sipo kwa ugomvi ndo maana after kukuambia nilicomment halafu inaonekana unapenda ugomvi.......narudia tena samahani sana kama nimekukosea

Siku njema
 
Hakuna mwanaume huyo

Wanawake ni wapumbavu wanategesha mimba ,huenda mwanaume alikuwa hana mpango wa kupata mtoto sababu ya mahesabu yake ila wanawake makusudi

Sasa hatujapanga kupata mtoto halafu unaniletea habari za mimba kwa kushtukiza what do u expect,wanapenda kuteseka wenyewe hakuna mwanaume anayeweza kukataa mimba yake ila from nowhere
Yah sikatai kuna watu wanategesha mimba but sijaona umuhimu wa kuyakimbia majukumu yake
 
Na wewe mwanamke ulikubalije kushika mimba na ujanjua kabisa hakuna utaratibu wowote wa maana ulifanyika.!! Sio kila mahusiano ubebe mimba !! Akuoe kwanza ndio ushike mimba ! Wengine wanafikiriaga mimba ndio utakuwa kifungo kwa mwanaume ili aweze kukuoa, wengine ukiwapa mimba ndio maisha yako yamekwisha !! Kwanini tusikimbie.... Unapewa gharama utafikiria wewe ni Ka Benk kadogo..!!
Hata kama sio vizuri kuyakimbia majukumu ya kulea mtoto......sio haki kabisa sasa mtoto ana makosa gani
 
Dah wanaume dili sana bora mwanamke atembe na bahasha ya kaki kitafuta kaz lakini sio mume
 
Hata kama sio vizuri kuyakimbia majukumu ya kulea mtoto......sio haki kabisa sasa mtoto ana makosa gani
Hakuna anayekimbia, huwa hatuko tayari kama maamuzi yalifanyika kwa upande Mmoja.! Kama uliisi ukishika mimba ndio hata kuwa wako, basi ujue ukishika mimba huts muona ! Tujitaidi kushirikishana, ila isiwe kama surprise... Kila Mmoja aelewe nini kitakwenda tokea...!! Familia si kitu cha kukimbilia...ndio hapo mwanaume wengi pumzika zinakatikia hewani..!!
 
hapo kazalishgwa na watu 3 tofauti hajakoma tu
afu anaonekana jeuri
 
Back
Top Bottom