Mkuu yeye tayali ana watatu, na wewe utapata wangapi kwake?
Kwanini usitafute mtu safi mtakae anza pamoja kutafuta watoto kuliko kumkuta tayali amekwisha choka na uzazi? Ukimuongezea hao wawili hauoni yeye atazeeka kuliko wewe, watoto hao watatu walipaswa kuwa wa ndani na asizae tena. Hongera kwa ushujaa huo Mkuu.Tatizo sio idadi ya watoto,suala ni kujipanga..kama umejipanga hakuna tatizo..hata akikuzalia watoto wengine wawili jumla wakiwa watano..ni uoga tu maisha..binafsi nafikiria kutafuta wa dizaini hiyo.
Kwanini usitafute mtu safi mtakae anza pamoja kutafuta watoto kuliko kumkuta tayali amekwisha choka na uzazi? Ukimuongezea hao wawili hauoni yeye atazeeka kuliko wewe, watoto hao watatu walipaswa kuwa wa ndani na asizae tena. Hongera kwa ushujaa huo Mkuu.