Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Watanzania hamna jipya nyie toka enzi mnalaum kila mkuu sasa basi ntaendelea kumuombea naatabaki salama siku zote ... MUNGU awape nini ili mlizike? au awape gunia la chawa mjikune mwaka mzima? Sio siri mnakera aise...eeee MUNGU wasamehe hawa hawajui walitendalo ,,,,,,watanzania mnasema munataka machafuko mnataka machafuko mnayajua machafuko?mimi ni mwanaichi wakawa ila nawambia mutaukumbuka sana huu uongozi nye acheni kufanya kazi pigeni majungu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafikiri haya sio machafuko? Mtu mmoja anaisigina katiba na haki za raia ww unaonaje sawa? Yaani ukiwa wa kijani ni lazima ufungie akili zako kabatini?
 
CHAHALI NAWE NA TABIA YAKO YA "NTOKE VIPI" Tumeshaichoka huna lolote huna information nyeti, huna ukweli, huna ulijualo, huna ulifahamlo, huna chochote. umebakiwa na mapumbu tu. na habari zako za uongo uongo kila siku unakuja kudanganya ukiona muda mrefu hujatoa single. kibaya singles zako hata haziuziki. kama ile ukadai rais anataka kupinduliwa hakukuwa na lolote track yako ilibuma vibaya maana haikupigwa hata radio ya home tu kwako unapoishi.

we jamaa una damu mbaya yaani kama mende. chooni hutakiwi vyumbani hutakiwi.
Chizi maarifa, the ava says it all
 
Kama jiwe atabaki madarakani mpaka 2025, basi ni dhahiri tiss imekuwa dhaifu kuliko hata bunge, watamuachaje mtu ambaye sio rai, muuaji, mtekaji, fisadi na ambaye ameharibu uchumi aendelee kubomoa nchi?
Punguza jazba intensive vetting ilishafanyika. Na katiba yetu iko clear kuwa ili uweze kuwa rais wa URT lazima uwe raia wa kuzaliwa. Katika mchakato wa ccm ulihusisha wagombea 45 ingekuwa hivyo angeishia round ya kwanza ya kujaza form. Poleni
 
Juzi tumefungua shule ,ile tunaripoti tu ofisini zaidi ya nusu ya staff tukapokelewa na barua za kupandishwa madaraja. Kweli uchaguzi umekaribia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hawako vile, mbowe yuko ndani mwezi wa ngapi sasa, wewe na familia yako mnakula tu sikukuu

unapotoa mifano, usiige kila kitu...Watanzania wengi ni waoga, wanafiki na wazinguaji akiwemo wewe

unajifanya eti ghadaf na mubarak wako wapi when you DO NOTHING!!!

fanya yatokee basi
Kwani Tunisia,Libya na Egypt waliishi kwa uoga kwa muda gani mpaka walipokinukisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chahali, kama mwandishi wa habari, credibility yako itajengwa na habari za ukweli. Let us wait and see! Lililo wazi ni kuwa Jiwe is consolidating his power,,,,,, by whatever means...... killing whatever is on his way to supremacy, supreme aggressive of power!
Killing whatever? Niga plz, hatujafikia huko mazee, dah, kama ni kukuza mzeebaba umepitiliza, hamuoni soni?
Some people are a despicable shame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Killing whatever? Niga plz, hatujafikia huko mazee, dah, kama ni kukuza mzeebaba umepitiliza, hamuoni soni?
Some people are a despicable shame.

Sent using Jamii Forums mobile app
A dictator is a dictator. Where is Ben, MKIRU, Azory, Coco beach corpses etc! These atrocities warrant one to face ICC!
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Pascal Mayala a. K. A njaa..soma hiyoooooo
 
Nimepitia michango hapo juu nadhani mchango wako ndo una mashiko.

Watu wengi wanapenda kuona Anguko la Jiwe jambo ambalo si la kiungwana/ kizalendo kabisa

Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly

Mungu ibariki Tanzania

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Umemchagua na nani?!
 
ngoja nitoke backbench nisogee mbele na kopo langu la popcorn
 
inawezekana watu wengi tunamchukia huyu mzee na inawezekana sababu zetu zikawa na mashiko kabisa lakini for the good of this country, huyu mtu tusijaribu kumpoteza.. ramani za kimkakati anazotengeneza leo itawachukua marais wengine hata karne nzima kuzifikia. tuombeane uzima
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni andiko la mtandaoni, ila wabobezi na watu wakubwa kama nyie ni vema mkachagua lugha ya kutumia!

Hapa simaanishi kwamba labda kutumia jina ambalo Mkuu mwenzio Paschal Mayala yeye halipendi hapana!!..Namaanisha kama umeamua kuandika kiswahili andika Kiswahili na kama umeamua kuandika kwa lugha ya Malaika, andika kwa lugha hiyo bila mchuzi mix mwingi kama hapa!

Watu kama nyie mnatakiwa kuwa chachu ya matumizi sahihi ya lugha kwa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom