misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,875
- 14,731
Eti mwenyekiti atafyekwa kweli?yaani unasema CCM hii iwe na sauti ya kumfyeeeekelea mbali Mwenyekigoda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mwenyekiti atafyekwa kweli?yaani unasema CCM hii iwe na sauti ya kumfyeeeekelea mbali Mwenyekigoda?
Only stupid ones will believe you Chahali. Lucky enough I'm not among of them.Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."
Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.
So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.
However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.
More analysis coming
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa gubu tulionalo watanzania hata malaika awezi kuitawala hii nchi.Nimepitia michango hapo juu nadhani mchango wako ndo una mashiko.
Watu wengi wanapenda kuona Anguko la Jiwe jambo ambalo si la kiungwana/ kizalendo kabisa
Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly
Mungu ibariki Tanzania
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Ajishushie mara ngapi mkuu? Alishajipotezea heshima yake kitambo,kisa anamdai Kinana posho basi hasira anamalizia kwa JPM.Hili lisipotokea utajishushia hiyo heshima na imani ya watu uliyoijenga wakati wote.....kuwa makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je Odinga ni mtanzania?Utafiti wa Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.
Mdau yetote aliyeko London aende maktaba ya Royal Geographical Society atafute kitabu kiitwachwo 'Journal of Discovery of River Nile' na asome walichokiandika explorers waliopita tabora, uzinza, karagwe na uhaya:
Nimepitia hiyo journal nikagundua baaadhi ya makabila ya Tanzania kama Wazinza si Watanzania asilia.Je Raisi Magufuli ni Msukuma au MZINZA??
HahahAcheni atunyooshe hill tukae sawa na tueshimiane maana tuliishi sana kwa mazoea na ndomaana tunalialia binafsi natamani apige kazi ata miaka 20 hili kila mtu ajitambue na afanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Tunisia,Libya na Egypt waliishi kwa uoga kwa muda gani mpaka walipokinukisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tulipiga kura kuwachagua marais na wabunge tunao wataka kwenye uraisi akatokea mmoja kuibuka mshindi kutuongoza wote hata ambao hatukumchagua nini maana yake?Umemchagua na nani?!
Bonge la ndoto ya mchana#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.
Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;
1) Hawakubaliki kabisa.
2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***
3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.
4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k
5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.
6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.
Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!
Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.
Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).
Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.
Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]
Zitto
What makes you qualify as a proper citizen of Tanzania? Kwa mfano, mtoto ukizaa Ulaya itakuwaje ingali wewe ni mtanzania?
Mbona Waafrika tunahangaika sana na issues ambazo kusema kweli hazina mashiko tunaacha mambo ya msingi?
Siamini hizi hoja za uraia zina sehemu kati ya jamii yetu
And where do they land? In a bizarre place. Uraia ni kutishiana tu. Hauna lolote lile jipya la kuleta kama kweli wewe ni raiaKama ni hivyo mbona hao hao wakikosolewa wanaagiza mkosoaji ahojiwe uraia wake?
say it again and speak it loudly pleaseMrejesho nilileta humu nilipotoka tuu Dodoma. Naweza kuurudia tena huo mrejesho ikibidi.
P