Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu, they are all marionettes tuu!.

P.

Hiyo jiwe ni code za C++ sio za visual basic
 
Pascal Mayalla katika kubadilika kwako... Okay. Sio mbaya kuna ubarozi umetangazwa cuba ngoja tuone
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu, they are all marionettes tuu!.

P.

mwanza
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent
Mkuu, kwani w(a)lieko Segerea kadhuriwa?
 
Huu ndio usukuma wenyewe sasa,kulikuwa na haja gani ya kubambika maneno ya kingereza ktk andiko lako.
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sikuamini na sitegemei kukuamini natamani habari ulioandika itokee hata mda huu..bunge na serikali kuu havina msaada kwa raia..bunge linapelekeshwa na mtu mmoja ambae ni raisi si natamani lolote litokee tuanze upya
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu, they are all marionettes tuu!.

P.
Matumizi ya neno 'Jiwe' hunikera sana..

Japokuwa sipo upande wake,hilo neno halifai kutumiwa na mtu kama Evarist Chahali

Hata hivyo huu umbea aliouleta ni 'too cheap'.

Halafu yeye anaona yuko 'well informed'.
 
Tetesi kama hizi huwa zipo tu miaka yote na kwa awamu zote za urais.

Natabiri hakuna lolote litakalotokea.
Nimepitia michango hapo juu nadhani mchango wako ndo una mashiko.

Watu wengi wanapenda kuona Anguko la Jiwe jambo ambalo si la kiungwana/ kizalendo kabisa

Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly

Mungu ibariki Tanzania

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Watanzania hamna jipya nyie toka enzi mnalaum kila mkuu sasa basi ntaendelea kumuombea naatabaki salama siku zote ... MUNGU awape nini ili mlizike? au awape gunia la chawa mjikune mwaka mzima? Sio siri mnakera aise...eeee MUNGU wasamehe hawa hawajui walitendalo ,,,,,,watanzania mnasema munataka machafuko mnataka machafuko mnayajua machafuko?mimi ni mwanaichi wakawa ila nawambia mutaukumbuka sana huu uongozi nye acheni kufanya kazi pigeni majungu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Huenda zikabakia kuwa tetesi tu....
 
Back
Top Bottom