Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Uzushi kama uzushi mwingine. Kwanza siku hizi huaminiki tena.. ulisema balozi wa Tanzania nchini Uganda karudishwa Tanzania kumbe uongo.
I don't trust you anymore.
Kwanza uchoro na uharo wako ulitakiwa uishie chooni.
Kwa Mtanzania mwenye akili timamu hawezi shabikia ujinga huo. We are stable as a nation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wa Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.
Mdau yetote aliyeko London aende maktaba ya Royal Geographical Society atafute kitabu kiitwachwo 'Journal of Discovery of River Nile' na asome walichokiandika explorers waliopita tabora, uzinza, karagwe na uhaya:

Nimepitia hiyo journal nikagundua baaadhi ya makabila ya Tanzania kama Wazinza si Watanzania asilia.Je Raisi Magufuli ni Msukuma au MZINZA??

It’s true, mipaka ya wazungu haikuzingatia tribal boundaries, bali wameweka straight lines na kuyakata kati baadhi ya makabila ya mipakani hivyo hakuna tofauti kati ya Wamasai wa TZ na wa Kenya. Hakuna tofauti kati ya mbuga ya Serengeti na Masai Mara. Hakuna tofauti kati ya Wanyasa na Wamalawi. Hakuna tofauti kati ya Wamakonde wa Mtwara na Nakonde. Hakuna tofauti kati ya Wajaluo wa TZ na Kenya. Hakuna tofauti kati ya Wahaya na Waganda Kyaka. Hakuna tofauti kati ya Wahangaza na Wanyarwanda etc, tribes doesnt matter, kinachomata ni watu wote waliokuwa ndani ya ardhi ya Tanganyika saa 5:59 siku ya tarehe 8 Dec, 1961 wamekuwa Watanzania automatically regardsless asili zao, ndio maana tuna akina Kambona, Lifa Chipaka, Kamaliza, Mtawali etc.

Japo matumizi ya ukabila ni kutambika tuu but there is something more to it, niliwahi kuuliza humu
Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums

P.
 
Utafiti wa Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.
Mdau yetote aliyeko London aende maktaba ya Royal Geographical Society atafute kitabu kiitwachwo 'Journal of Discovery of River Nile' na asome walichokiandika explorers waliopita tabora, uzinza, karagwe na uhaya:

Nimepitia hiyo journal nikagundua baaadhi ya makabila ya Tanzania kama Wazinza si Watanzania asilia.Je Raisi Magufuli ni Msukuma au MZINZA??

What makes you qualify as a proper citizen of Tanzania? Kwa mfano, mtoto ukizaa Ulaya itakuwaje ingali wewe ni mtanzania?
Mbona Waafrika tunahangaika sana na issues ambazo kusema kweli hazina mashiko tunaacha mambo ya msingi?
Siamini hizi hoja za uraia zina sehemu kati ya jamii yetu
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe muota ndoto usiku bana
 
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.

Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]

Zitto
Mmh kumbe wewe ni Zitto signature hiyo basi jenga msingi wa chama
 
All in all Magufuli kwa sasa yupo kwenye turmoil nchi imesimama kwa mambo yake mengine sana mabaya sasa anapaswa kuchagua moja kuachia ngapi 2020 akilazimisha ataingiza nchi kwenye shida
 
Nimepitia michango hapo juu nadhani mchango wako ndo una mashiko.

Watu wengi wanapenda kuona Anguko la Jiwe jambo ambalo si la kiungwana/ kizalendo kabisa

Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly

Mungu ibariki Tanzania

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Acha uongo, amechaguliwa na tume ya uchafuzi! Uchaguzi tz uliishia 1965
 
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.

Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]

Zitto
Hahaha habari za mwaka mpya. Pole sana wakuu, kwa ccm kinachowaumiza ni post JPM administration 2025 nani successor. Mengine ya sijui kaharibu sijui kafanya nini yote hayaihusu ccm.ccm ipo sana hadi 2025 with current presidaaa. Upinzani you??, kwa tume ipi? Kwa resources zipi???? Hahaaaaaaaaaaa tangu 1995 upinzani unaikataa tume kila baada ya uchaguzi lakini kila uchaguzi mpya huwa wanaitambua tume.Ndiyo maana tunasema bila ccm makini nchi itayumba.
 
Back
Top Bottom