Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Kuna muda mtu unaweza kuamua kuandika kitu ili kusisimua tu. Kuna jina lake kitaalamu. Ni syndrome fulani hivi ambayo huwapata hasa waandishi na wanaofanya kazi za communication..
 
as far as I am concern Rais Magufuli kama rais yeyote ana maadaui wengi tu. ila ukweli ni kuwa ttamaliza muda wake miaka 5 na atachaguliwa tena muhula wa pili. wenye mipango mingine waanze After 2020!! ili 2025 waukwae ukubwa!!. hakuna wa kufyekelea mbali. hebu jaribuni hata kujikuna!!
 
as far as I am concern Rais Magufuli kama rais yeyote ana maadaui wengi tu. ila ukweli ni kuwa ttamaliza muda wake miaka 5 na atachaguliwa tena muhula wa pili. wenye mipango mingine waanze After 2020!! ili 2025 waukwae ukubwa!!. hakuna wa kufyekelea mbali. hebu jaribuni hata kujikuna!!
Hatafika huko hayo ni maono yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wanajaribu kucheza na rais wa nchi?

Evarist usikute hata wewe haujui nguvu ya rais wa Tanzania!
 
Khaaaa
Jiwe kila Kona haeleweki! Katengeneza Maadui kila kona! Watumishi, Raia, Wanasiasa, WanaCCM wenzie mbaya zaidi hata Majeshi nayo hayamtaki!
Jiwe Umechuma Janga hakina Utalifaidi!
Khaaaaaa Hii ya majeshi ndio naisikia duuuuu ila nivigumu kuamini
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Hata hiyo aliyodai “neutralisation just a couple of weeks ago” iliyofail! itakuwa tango pori?
 
Nguvu za Urais alikuwa nazo Gaddafi na Mubarak,wapo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania hawako vile, mbowe yuko ndani mwezi wa ngapi sasa, wewe na familia yako mnakula tu sikukuu

unapotoa mifano, usiige kila kitu...Watanzania wengi ni waoga, wanafiki na wazinguaji akiwemo wewe

unajifanya eti ghadaf na mubarak wako wapi when you DO NOTHING!!!

fanya yatokee basi
 
DA kusoma kuzuri jamani yaani mimi hizo luga zilizotumika kwenye huu uzi naona maluweluwe tu sijaelewa anaongelea nini bora angeandika ki english pekee au kiswahili pekee ningemuelewa vizuri tafsili basi mkuu
 
Zamani kutaja kabila ya mtu ilikuwa ni ukabila, sasa ni sifa, haswa kwa kuzingatia tumeanzisha ufalme, hivyo ukiwa the royal tribe ni sifa, si umesikia hata bomoa bomoa kuna maeneo watu hawatabomolewa?.

Hili la kuchanganya lugha, tuko kwenye social media hivyo informalities zote zinaruhusiwa for brevity na easy undestanding, kuna maneno kwa kiingereza ni mafupi na yanaeleweka kwa urahisi na mengine hayana Kiswahili kabisa.
Pole.
P
Ni kweli kabisa kuwa Maghufuli akifeli itawashusha nyie?
 
Sidhani kama itakuwa hivyo, ila kama itatokea itakuwa poa sana.
 
Back
Top Bottom