#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.
Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;
1) Hawakubaliki kabisa.
2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***
3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.
4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k
5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu waaihoji ndio solution, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika).
6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.
Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchakua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!
Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.
Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, ni
Zitto he is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila usubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).
Zitto