Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Watu wengi wanaochukizwa na uongozi wa sasa, wana sifa zifuatazo:
1. Walionyang'anywa mali walizoiba au/waliozuiwa kuendelea kuiba. Walizoea kupata hela/utajiri haramu, sasa wameshindwa. Hawa ni pamoja na familia zao, na wale waliokuwa wanawategemea.

2. Baadhi ya waliotegemea kuteuliwa kuwa viongozi wa nyadhifa fulani wakakosa kwa kutokuteuliwa. Wana vinyongo.

3. Kundi la tatu ni wale wasiojua vizuri nchi ikoje, kwa maana imetoka wapi, na leo tuko wapi. Hawa hawajui madhila na madhaifu yaliyokuwa hapo nyuma. Kigezo cha uchumi kuwa hivi, wanafanya kama tatizo kubwa sana kuliko kawaida, wakati miaka yote uchumi haujawahi kuwa rahisi.

4. Kundi la mwisho, ni kundi la vijana wenye kati ya umri wa kati ya 15/8 hadi 39 hivi. Baadhi ya vijana hawa pamoja na sifa ya watu hapo juu kundi na.3, wana sifa ya kufuata mkumbo pia. Kila wakichochewa hufuata mkumbo kwa sababu ya uzoefu duni na ukomavu mdogo!

Ukichunguza na kumfuatilia mtu yeyote anayechukia awamu hii ya uongozi, lazima ana sifa za kundi mojawapo kati ya hayo.

Fikiria na kutafakari kwa kina, utaona jinsi Rais anavyofanya kazi kwa kiwango kizuri kikubwa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Utawala huu ni mbovu wananchi katika makundi yote hawautaki wakulima wafugaji wafanyakazi wanafunzi askari jeshi polisi wavuvi wafanyabiashara dini mbalimbali hawautaki na hawa mtaki magufuli
 
Kama tulipiga kura kuwachagua marais na wabunge tunao wataka kwenye uraisi akatokea mmoja kuibuka mshindi kutuongoza wote hata ambao hatukumchagua nini maana yake?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Maana yake hatukumchagua
 
Jiwe kila Kona haeleweki! Katengeneza Maadui kila kona! Watumishi, Raia, Wanasiasa, WanaCCM wenzie mbaya zaidi hata Majeshi nayo hayamtaki!
Jiwe Umechuma Janga hakina Utalifaidi!
Usisahau pia kavuna marafiki.
 
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.

Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]

Zitto
Mkuu nazani unasahau mapema sana. Ukilinganisha CCM ya sasa na ya 2015 ipi ni yeye Nguvu? Wana ccm saivi wanatembea vifua mbele na wanavaa Nguo zako mtaani bila shida wakati 2014 zomea zomea ilikuw haina mfano. Hilo moja.
Pili ccm kama ccm sio chama cha kuandika simple analysis hivi afu ukapost. Kwenye uchaguzi utaona wote wanaopaluzana ndani ya ccm wako jukwaa moja na sera wanamwaga. Saivi utaona ndani ya ccm kama kunamnyukano lakini hayo ni matokeo ya kukosa vyama vya upinzani vyenye Nguvu ya hoja badala yake vinakuwa na hoja za matukio, hii inafanya ccm wajione wako huru kukosoana hadharani. Come 2019-20 pale wanaccm wote wataonekana kwenye jukwaa..si Nape si Kikwete si kinana, si makamba upinzani utatembelea magoti.
 
Afadhali ya mfalme aliyeshonewa suti isiyoonekana kuliko anayejishonea mwenyewe suti isiyoonekana!
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataondoka wao kabla ya kumuondoa huyo unaemwita jiwe,
 
Fuatilia vzr, atagundua na utaona ukweli wa nililolisema. Huyo mkulima au mvuvi uliyemsema mdadisi vzr kwa nini anachukia utawala- sababu dhaifu kabisa!

Wengi wao ni mkumbo, uelewa mdogo wa maswala ya kitaifa na kutokujitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi kama wapuuzi wengine wewe puppet wa wazungu mkubwa. Na hawa wanao ku support hawajui walitendalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nazani unasahau mapema sana. Ukilinganisha CCM ya sasa na ya 2015 ipi ni yeye Nguvu? Wana ccm saivi wanatembea vifua mbele na wanavaa Nguo zako mtaani bila shida wakati 2014 zomea zomea ilikuw haina mfano. Hilo moja.
Pili ccm kama ccm sio chama cha kuandika simple analysis hivi afu ukapost. Kwenye uchaguzi utaona wote wanaopaluzana ndani ya ccm wako jukwaa moja na sera wanamwaga. Saivi utaona ndani ya ccm kama kunamnyukano lakini hayo ni matokeo ya kukosa vyama vya upinzani vyenye Nguvu ya hoja badala yake vinakuwa na hoja za matukio, hii inafanya ccm wajione wako huru kukosoana hadharani. Come 2019-20 pale wanaccm wote wataonekana kwenye jukwaa..si Nape si Kikwete si kinana, si makamba upinzani utatembelea magoti.
Naona Umejitoa Ufahamu Mkuu! Huoni Policcm wanavyotumika kuushughulikiwa Upinzani? Tunawaambieni Siku Zote Kuweni Fair kwa Kuruhusu Kila Chama kifanye siasa kwa Uhuru bila Kuingiliwa halafu muone aibu itakayokuwa Juu yenu! Msiwaze kama vichaa tumieni akili katika Kulinganisha hayo mnayolinganisha!
 
Kuna Tetesi nyingi pia nakuwa nazipata kutoka kwa watu wa ndani ya humo ila Time Will Tell
 
Huyu jamaa ananishangazanga sana, kwamba amesalimika na hao watu wasijulikane? You can't be serious. Basi hamna "system"
 
Chahali,
Unahangaika sana
Njaa ndo inakusumbua
Pole sana bora urudi nyumbani Nduguzo wanakukumbuka
Hicho chama cha wasaka tonge (CHAWATO) kazi yake ni kuwania mfupa udondoke.
Haudondoki huo.
 
Jiwe = Peter = Mwamba

Sio jina baya!
 
Huwa najiulizaga tu ule ulinzi mzito wa anko wetu

Je anahisi nini au kuna anawahisi wanataka kuleta za kuleta

Maana inatisha ulinzi mkali sana sijawahi ona .

Halafu RAIA wanasema huko magogoni kura RAIA wa sio wa nchii hii wanalinda pale japo sijawahi hakikisha why? Iwe iwe hivyo kama ni kweli .

Najiuliza tu ,huku natafakari



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom