Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 767
- 1,038
Tutamlinda rais wetu katika hali zozote zile so kuweni wapole tu nyie mnaoiombea nchi yetu mambo mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kitengoni kuna 'watu' wanamlisha habari, ambazo wao wanataka ziaminike,sio sahihi ila zikitokea kwake zitageuza mwelekeo flaniMkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.
Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.
P.
Utafiti wa Wazungu unaonyesha Wazinza ni Watutsi.Zamani kutaja kabila ya mtu ilikuwa ni ukabila, sasa ni sifa, haswa kwa kuzingatia tumeanzisha ufalme, hivyo ukiwa the royal tribe ni sifa, si umesikia hata bomoa bomoa kuna maeneo watu hawatabomolewa?.
Hili la kuchanganya lugha, tuko kwenye social media hivyo informalities zote zinaruhusiwa for brevity na easy undestanding, kuna maneno kwa kiingereza ni mafupi na yanaeleweka kwa urahisi na mengine hayana Kiswahili kabisa.
Pole.
P
Hakuna anaemuombea jiwe mabaya kosa lake anakosa touch na jamii anashindwa kusympathise na wananchi wake hebu sema toka jiwe ameingia madarakani amefanya lipi linaloupa ubinadamu na uhai pamoja na utu thamani sema mwenyewe mi naona mchawi wa jiwe ni jiwe mwenyeweNimepitia michango hapo juu nadhani mchango wako ndo una mashiko.
Watu wengi wanapenda kuona Anguko la Jiwe jambo ambalo si la kiungwana/ kizalendo kabisa
Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly
Mungu ibariki Tanzania
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Nakusihi uamini Mkuu!Khaaaa
Khaaaaaa Hii ya majeshi ndio naisikia duuuuu ila nivigumu kuamini
Tetesi kama hizi huwa zipo tu miaka yote na kwa awamu zote za urais.
Natabiri hakuna lolote litakalotokea.
Tetesi kama hizi huwa zipo tu miaka yote na kwa awamu zote za urais.
Natabiri hakuna lolote litakalotokea.
Nilidhani nipo mwenyewe nilipokuwa nafikiri kuwa 2015 hapakuwa na wa kuchagua si tawala wala upinzani....Nilipoteza imani na wewe toka 2015 ulipoamua kuchagua kwenye uchaguzi ambao haukuwa na chaguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu mwenyewe analitumia, lengo ni kuendelea kuwafurahisha wale wa serengetiMatumizi ya neno 'Jiwe' hunikera sana..
Japokuwa sipo upande wake,hilo neno halifai kutumiwa na mtu kama Evarist Chahali
Hata hivyo huu umbea aliouleta ni 'too cheap'.
Halafu yeye anaona yuko 'well informed'.
Nilidhani nipo mwenyewe nilipokuwa nafikiri kuwa 2015 hapakuwa na wa kuchagua si tawala wala upinzani....
Tetesi kama hizi huwa zipo tu miaka yote na kwa awamu zote za urais.
Natabiri hakuna lolote litakalotokea.
Linakukera kwa sababu jiwe ni kipenzi chako! Laiti mbowe angeitwa hilo jina wala usingekerekaMatumizi ya neno 'Jiwe' hunikera sana..
Japokuwa sipo upande wake,hilo neno halifai kutumiwa na mtu kama Evarist Chahali
Hata hivyo huu umbea aliouleta ni 'too cheap'.
Halafu yeye anaona yuko 'well informed'.
Kumbe na wewe sometym unachangiaga michango yenye akili?sijajua lakini naamini chahali ana tatizo kubwa sana kuliko sisi wengine tunavyodhani. hata angekuwa na taarifa ya kweli yenye maudhui sahihi basi alipaswa atumie lugha ya kisomi ambayo ingemtofautisha yeye na layman flani huko kwenye mitandao au mtaani. pengine chahali ana amini kwa kumuita mh rais jiwe ata win wafuasi wengi kenye social media au kumpa credit. nafahamu JF wenye akili ni asilimia zisizozidi 30 wengi ni watu wasio na akili au uelewa mzuri.
mwalimu wangu mmoja chuoni alinifundisha kuwa hata kama humpendi mtu au unamchukia. kuuungwana unapaswa umheshimu na usioneshe unamchukia yeye.chukia matendo yake. lakini tu kiafrika huwa tunaheshimu sana watu wazima huwezi mwita mtu mzima jiwe tena rais. hata kama mnapishana. kule kwetu wazee wakisikia unamwita mzee mwenzao jina hilo hata kama walikuwa na tatizo naye watakubadilikia na kukucharaza bakora sana. utaonesha huna malezi mazuri.
unapaswa sasa chahali ukue ndugu yangu. umri wako unasonga mbele basi na akili nayo ipate werevu na busara.
la pili. achana na drama za kitoto. najua unapenda sana uwe wa kwanza kutoa taarifa nyeti au uonekane ulikuwa mtu wa kitengo. ila jamaa zako wanakudanganya. wanakulisha matango pori makusudi ili kuondoa credibility yako mbele ya jamii. wapo kwenye kazini kwa kukupa wrong info. ili uendelee kutoa wrong info na mwishowe hata ukija kutoa right utakuwa late maana watu wameshakudharau. kumbuka ulikuja na story yako ya kuwa rais anapinduliwa... ilikuwa ya kitoto sana sijui ulianzaje kuwaza jambo kama lile. then ukaja kusema mapinduzi yamezimwa. just like that. nilisoma nikakuona una tatizo kubwa sana kuliko unavyoonekana. jaribu kukua ndugu yangu. siku hazigandi.
Matumizi ya neno 'Jiwe' hunikera sana..
Japokuwa sipo upande wake,hilo neno halifai kutumiwa na mtu kama Evarist Chahali
Hata hivyo huu umbea aliouleta ni 'too cheap'.
Halafu yeye anaona yuko 'well informed'.