Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Ukweli mchungu ila huwa nakuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Mlongo wangu sasa umekuwa mpiga ramli kweli watu wa Ifakara tuna urithi kutoka kwa bibi kalembwani. wewe ni jukuu wake nini? Nilikua sijui familia iliyo na mapadre nayo ina wataalamu wa kupiga bao...
 
Watabiri huwa wapo tangu enzi na enzi ila wapo wa ukweli na wa uongo
Huyu anaweza kuwa wa Ukweli bibi yake alikua mganga mkubwa sana wa kienyeji kule Kisawasawa kilometer kadhaa kutoka alikozaliwa mtua Chahali Evarist. Ni mganga wa kuaminika nawaombeni sana mumuamini kwa hili hajatumia utaalamu wake wa TISS kautumia utaalamu aliyourithi kwa bibi Kalembwani wa Kisawasawa na Ngoheranga.
 
Anaweza kutuchinja kisha atupakie kwenye Drimu akatumwage Bahari ya Hindi.

Very possible maana huyu JIWE kama hajalikoka.....hawezi kuongea hata na na mtu moya....!!!Lile jani linalofanana na mtaa mmoja huko Waja leo waondoka leo....Majani Mapana...nasikia hulitumia sana kuondoa stress zake....lakini pia apate ujasiri wa kutoa maamuzi yake ya kidikteta...Watz mtaendelea KUPATA TAABU SANA maadamu Jiwe ataendelea kuikalia Ikulu ya Tanzo...!!!
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Nimesha like Mr P. Hakuna kaz ngumu kama kufagia nyumba ilio kwisha fagiwa alafu ukafagia vizuri mpaka yule wakwanza kufagia akaonekana hakufanya kitu. Kaz kweli kwel
 
Tetesi kama hizi huwa zipo tu miaka yote na kwa awamu zote za urais.

Natabiri hakuna lolote litakalotokea.
Kwa mara ya kwanza nakusapot kwa hili, aidha huyu jamaa huwa ana speculation zake zisizo straight maana hatabirik mara leo amsapot kesho ampinge . Hayupo consistency ktk maandiko yake, si wa kuamika huyu..
Mpaka unaweza zani speculation zake anafanya kibiashara ..
 
We jamaa ni wa kupuuzwa tu toka ulipokubali kuwa ulipokea hela toka kwa kinana ili umpigie chapuo Jiwe binafsi nikakupuuza.Mbaya zaidi ulipokuwa unalalamika umedhurumiwa.Hopeless kabisa we jamaa.
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Katika taaluma ya lugha na dhana yakinika ya maana ya mantiki kitaalamu hata wewe hukupaswa kufanya direct criticization juu yake kwani ki nadharia malengo ya andiko lake yanapaswa kubakia kwenye mantic ileile ya kutufukirisha na hivyo kupay attention kwa mambo fulani fulani
 
Humu jamii forums nilikuwa namwamini Jason Bourne tu. Huyu jamaa alikuwa kichwa akisema jambo lilikuwa truth 100%. Hawa wengine ni waganga njaa tu nothing else.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Huyu jamaa ni boya sana na bila shaka huko ughaibuni anaishi kwa shida sana, huwezi amini kwamba that guy was once a TISS member, someone who is expected to be smart. Ona argument anazotoa leo hii, kama amerukwa akili. Nawapongeza waliomfukuza kazi, ni zaidi ya kiazi.
 
Kwa mara ya kwanza nakusapot kwa hili, aidha huyu jamaa huwa ana speculation zake zisizo straight maana hatabirik mara leo amsapot kesho ampinge . Hayupo consistency ktk maandiko yake, si wa kuamika huyu..
Mpaka unaweza zani speculation zake anafanya kibiashara ..
Hawa majasusi ndio zao kuchezea akili za watu. Hana lolote anataka kusoma mood zetu.

Wanaamini wanaweza kutengeneza lolote ikibidi kwa fitna
 
kila mtu ana maadui na rais kuwa na maadui ni kawaida kabisa. maadui ndani na nje hata baba nyumbani watoto na mke wanaweza kugeuka maadui wakitamani atoweke warithi mali.
hilo halipingiki lakini kuna ishara ya woga kila mtu anaogopa sdihani kama kuna asiyeogopa na hii ni advantege kubwa kuwafanya watu wakuogope and yuo have the powers!
 
Aise pole
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.

Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]

Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very possible maana huyu JIWE kama hajalikoka.....hawezi kuongea hata na na mtu moya....!!!Lile jani linalofanana na mtaa mmoja huko Waja leo waondoka leo....Majani Mapana...nasikia hulitumia sana kuondoa stress zake....lakini pia apate ujasiri wa kutoa maamuzi yake ya kidikteta...Watz mtaendelea KUPATA TAABU SANA maadamu Jiwe ataendelea kuikalia Ikulu ya Tanzo...!!!
Tunao vuta bange hatuna akili kama za huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom