Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.
Duuh, sasa yasipotekea hayo unayo bashiri ..tukuitaje ....endelea kudai fedha zako za kuifanyia kampeni CCM mtandaoni
 
Rais tumchague wenyewe (in gereral) alafu tumtabirie mabaya wenyewe....sadly
Tatizo la Chahali ni ile fedha anayodai ya kipindi cha kamapeni ,aliyokatiwa Line ,katika watu nawalaani CCM ni yule alimpa kandarasi huyu chahali ,maana nazani kulikua na 10%
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wapinzani wajinga wana upinzani wa kijinga na mmoja wao ni wewe. Yani watu wa aina yako mko tayari kuona hata nchi ikiingia kwenye machafuko yatayowaathili innocent persons ili mradi tu chama unachokipinga kionekane hakifai kuongoza nchi.

1. WATU WA AINA YAKO NI WA KUOGOPWA KAMA UKOMA

2. WATU WA AINA YAKO NI KUWAHIWA KABLA HAMJATIMIZA UFEDHURI WENU

3. WATU WA AINA YAKO NI KUPUUZWA

4. ACHA KUTUMIKA VIBAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata wapi hiyo credibility ya kusema tumemchagua wenyewe in general mkuu?
 
Mimi naiunga kwenye huu uzi nipate mrejesho mwisho wa mwaka kama huu utabiri utatimiaje? Au ndio mtindo wa kulishana habari nyepesi nyepesi zisizo na uzito wowote?
Ni madini au matango pori?
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto kama hizo wanaota Watoto wanao kojoa kitandani hivyo tazama godoro lako kama ujalikojolea

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom