Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app

Chahari itakuwa umekoswakoswa na corona naona kichwa chako sio kizuri, unazusha vitu ambavyo havipo kabisa, endelea kuota ndoto za mchana.
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.

Hello Mr. Mayalla...!!

Can you re - assess this statement of yours now?

In my opinion, the year ago Chahali's speculations is almost to realities to about 80%....

Wewe unaonaje kwa sasa?
 
Chahali mzee wa kupiga tofali wale wenye maoni tofauti na wewe, nakumbuka 2015 ulivyokuwa unampigia debe jiwe leo ameacha kuwalipa mumfanyie propaganda mmemgeuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chahali mzee wa kupiga tofali wale wenye maoni tofauti na wewe, nakumbuka 2015 ulivyokuwa unampigia debe jiwe leo ameacha kuwalipa mumfanyie propaganda mmemgeuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Jadili mada, usinijadili mie. Angalau mie mpiga debe nimekuwa na uthubutu wa kukosoa (kwa jina langu halisi). What about you unayehofia kutumia jina lako halisi?
 
Ko kuna maniaje niaje huko inside ze haus au?

laana ya watumish haitomwacha mtu swalamaa

Na taarifa kuhusu stigilaz jojino tunazo.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
[QUOTE="Countrywide, post: 35338049, member: 276847"R]
Kwamba ccm wanamuondoa jiwe kwenye uchaguzi wa mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]

Nitafurah sana nikisikia hivyo. Katuumiza sana wafanyakazi huyo mjuba🤒🤒🤒🤒🤒🤒
 
#2019 tutashuhudia mengi sana katika POLITICAL FIELD.

Assessment wanayofanya CCM juu ya jinsi gani wanatakavyo pambana #2020 na wapinzani kwenye MAJUKWAA inawaumiza kichwa sana, wanajua hilo;

1) Hawakubaliki kabisa.

2) Wameshaharibu sehemu nyingi, zisizo SAFISHIKA (Hata kwa dawa ya kuondoa MADOA) ***Refer matukio ya watu wasiojulikana, kutekwa, kupotea kwa raia, mashambulio ya kujaribu kuwaua wapinzani, kuwafunga, TRA kwa wafanyabiashara, ukandamizwaji, waandishi wa habari kukandamizwa na kutekwa, kuanzisha sheria kandamizi, baadhi ya wakuu wa mikoa kutufitinisha na Nchi zinazotupa misaada, kuwatukana EU kua mabeberu na maneno yasio mazuri na kusahau misaada waliowahi kutusaidia n.k***

3) Ahadi zao HAZIJATIMIZWA.

4) Baada ya kuchukua MADARAKA, waliwageuka RAIA kwa jeuri/kiburi/dharau/kejeli n.k

5) Hawana MAELEZO YENYE MASHIKO kwa baadhi ya maamuzi central government iliokua ikifanya/inayofanya. ***Walivyo watu wa ajabu, wanaona KUNYAMAZISHA watu wanaohoji baadhi ya mambo ndio solution kwao, bila kujua UCHAGUZI ukifika watakua wamejikusanyia HOJA ZA KUULIZWA (Zisizojibika) chungu nzima.

6) Katika fikra zao kuendelea KUNYAMAZISHA/KUZUIA KUHOJI watu kwa kutumia MABAVU ndio solution, ila kuna mwisho wake #2020.

Ukijumlisha tumebakiza mwaka mmoja tu mpaka kufikia uchaguzi mkuu, ila CCM haijaamua na kuchagua CORRECT PATH TO CAMPAIGN, mpaka sasa hawajapata njia sahihi bado (Wanajidanfanya Kutumbua/Kufukuza watumishi na viongozi ndio raia wanavutiwa nao). Pamoja na kujitapa kua wana wasomi wenye PhD nyingi ila ni FAILURES.!!!

Credibility ya CCM ipo below 20%, they intend to use MALICE/UNDUE INFLUENCE/MISREPRESENTATION/FRAUD ndio njia iliobakia, na iliopo akilini mwao sasa hivi. NA KAMA WAKIDHIBITIWA katika hayo tajwa juu, hawachukui kiti cha urais.

Mwanasiasa pekee aliechagua CORRECT PATH so far, niZittohe is smart/intelligent/bright and gifted in politics. Mapema sana kaishachagua njia ya kupita, na anakwenda vyema sana. Na ni mtu atakaekua na NGUVU KUBWA sana (Sitaki kumwelezea kwa undani zaidi, ila tusubiri tujionee ATAKAVYO SIMAMA NA HOJA ZA KUWATIA BP CCM kwenye campaign).

Huyu mtu ndio pekee ataekua anawalaza WANA-LUMUMBA KWA PANADOL/PARACETAMOL/VALUME kwenye uchaguzi wa #2020. Waandae budget ya PAINKILLERS wana lumumba.

Ninaamini, MH RAIS hatokubali ONE-ON-ONE (MIDAHALO YA UCHAGUZI/OPEN-CAMPAIGNE DEBATES) via television na Zitto Kabwe, kwenye maswali na majibu....... Kwanini???. . . . . Jibu kila mtu achukue lile analohisi ndio sahihi. . . . .!!![emoji18] [emoji53]

Zitto
Hapo mbona umemaliza bando tu mkuu kwa maana sijaona hoja yoyote yenye mshiko kutoka na sababu ulizo ziainisha.
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Asante sana Pascal kwa kuonyesha kwa uwazi kukerwa na baadae kukemea mtu anayetaka aheshimiwe wakati yeye anawaita viongozi wenye heshima zao majina ya ajabu ajabu. Ukishindwa kumtambua kama Raisi kwa kuona aibu ya madictators wa JF, waweza kumuita hata jina Mkulu, Mzee wa Dodoma,Bingwa, Bwana Mkubwa japo sio lazima lakini utaeleweka tuu.
 
Back
Top Bottom