Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Tukio litakalopima urais wa Magufuli

Acha porojo wewee pandemic enthusiast jikite kwenye mada
Porojo zipi? Utabiri unahitaji hoja?
Nimesema nilichokisema. So what?
Sishabikii pandemic, tutakao kufa tutakufa, dead bodies tell no tales. It is as simple as that.
Aya basi,kuna tukio linakuja. Atapinduliwa, palace coup yaani.
Otherwise fafanua, unataka nisemeje.
You! Of all the people, unaamini this idiocy?
Enthusiasm ya kifo? Crap.
 
Mimi wasi wasi wangu ni hao tulio simamia ukombozi katika nchi zao walipo kuwa wanakandamizwa kuto kuridhika na huu uongozi wetu wasasa je hamuoni wanaweza kurudi nyuma na kuikomboa nchi iliyo walea kulipa fadhila na heshima kwa kisingizio Baba aliwatendea mema?tuliangalie sana hili nimesha wahi kuona mtu anaingilia ugomvi usio muhusu nikamuuliza kwanini akanijibu huoni dogo anavo onewa
 
Porojo zipi? Utabiri unahitaji hoja?
Nimesema nilichokisema. So what?
Sishabikii pandemic, tutakao kufa tutakufa, dead bodies tell no tales. It is as simple as that.
Aya basi,kuna tukio linakuja. Atapinduliwa, palace coup yaani.
Otherwise fafanua, unataka nisemeje.
You! Of all the people, unaamini this idiocy?
Enthusiasm ya kifo? Crap.
Bwana mdogo watch your mouth unapozungumza na waliokuzidi kiumri
 
Japo sikuamini na sitegemei kukuamini natamani habari ulioandika itokee hata mda huu..bunge na serikali kuu havina msaada kwa raia..bunge linapelekeshwa na mtu mmoja ambae ni raisi si natamani lolote litokee tuanze upya
😂😂😂😂😂 kabla maombi yako hayajajibiwa hakikisha una vibali vyote vya kuishi nchi nyingine, ni dhahiri kwamba hatukupigana vita kama vile vya kagera katika generation hii ya online lakini pale machafuko yatkapokea amini nakwambia utamuomba Mungu masaa 24 lakini it will have been very late
 
"Titi lake lilimuwasha hadi akajikojolea" hii simulizi sitaisahau.
Mimi naiunga kwenye huu uzi nipate mrejesho mwisho wa mwaka kama huu utabiri utatimiaje? Au ndio mtindo wa kulishana habari nyepesi nyepesi zisizo na uzito wowote?
Ni madini au matango pori?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chahali, kama mwandishi wa habari, credibility yako itajengwa na habari za ukweli. Let us wait and see! Lililo wazi ni kuwa Jiwe is consolidating his power,,,,,, by whatever means...... killing whatever is on his way to supremacy, supreme aggressive of power!
Mkoloni si tatizo.tatizo ni wapambe kupe (wanufaika)wataishije bila damu (ubinafsi wa mwafrika) ukiona mwafrika anamtetea mwafrika mwenzake jua wamepigwa njaa wote,case study ni wapiga kelele wote waliofika bei
 
Jiwe atakuwa anajua ndo mana kakimbilia kwao mapema!asije akaondolewa kwa aibu pale magogoni!!!!Nyie hamjiulizi kwann kakimbia????WALE WANAOMBEZA CHAHALI WAACHE!HAMKUMBUKI YA KIPILIMBA NA MEMBE??ALISEMA HUMU HUMU KUWA MEMBE ALITOA PENDEKEZO KUWA KIPILIMBA AWE NA AKAWA!HATA ALIPOTIMULIWA ALITUAMBIA MAPEMA HUMU JAMVINI HAJA KABLA DIWANI HAJATEULIWA!!!
 
Exactly, wanufaika wa mfumo lazima wautetee. Ukiona hata tuliowategemea kukemea maovu wamekaa kimya, ujue tumefika pabaya. Lakini haya si mageni, Idd Amin pamoja na kuua waganda kwa malaki, bado alitungiwa nyimbo za kumsifu kama mkombozi . Tuliyashuhudia haya yanayofanyika kwetu.
 
Usitegemee TISS,wakuu wa vyombo vya dola, wastaafu, viongozi wa dini wakakutetea Hawa ni wanufaika,kukutetea wewe means wao wafe njaa,kwa mwafrika hakuna kitu Kama hicho,Mimi kwanza labda tu maslai yao yatakapoguswa.Africa madikteta si tatizo,tatizo ni wanufaika wataishije pasipo kufyonza?
 
Jiwe atakuwa anajua ndo mana kakimbilia kwao mapema!asije akaondolewa kwa aibu pale magogoni!!!!Nyie hamjiulizi kwann kakimbia????WALE WANAOMBEZA CHAHALI WAACHE!HAMKUMBUKI YA KIPILIMBA NA MEMBE??ALISEMA HUMU HUMU KUWA MEMBE ALITOA PENDEKEZO KUWA KIPILIMBA AWE NA AKAWA!HATA ALIPOTIMULIWA ALITUAMBIA MAPEMA HUMU JAMVINI HAJA KABLA DIWANI HAJATEULIWA!!!
Africa ya zamani ukae mbali na ikulu siku nyingi ushapinduliwa.
 
Vyanzo vinaeleza kuwa kuna tukio moja zito ambalo kwa vyovyote linaweza kuyumbisha mno urais wa Jiwe na haitokuwa jambo la kushangaza kusikika sauti ndani ya CCM kutaka "afyekelewe mbali."

Details are sketchy, lakini ni matokeo ya power tussles zinazosababisha civil war inayoendelea kimyakimya kwenye corridors of power. Ni hivi, for months kumekuwa na efforts za kumng'oa Jiwe kwa options tatu (a) Bungeni - option iliyokufa kabla haijazaliwa (b) neutralisation - na couple of weeks ago ilikuwa almanusra wamwondoe (c) realpolitik 2020 - odds are heavily stacked against Jiwe within CCM ila "wapinzani" wake wanashindwa kukabiliana nae hadharani.

So, tukio hilo - or rather matukio kadhaa in one - moja kwa moja litajenga picha ya "Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake." Jiwe atakuwa suspect number one, and this thing will haunt him pengine hadi 2020 kama atasalimika.

However, Jiwe being Jiwe anaweza kugeuza ishu hiyo kuwa kisingizio cha kutangaza hali ya hatari, na hiyo itasababisha ukandamizwaji zaidi wa civil liberties na haki za kidemokrasia.

More analysis coming

Sent using Jamii Forums mobile app
Wishful thinking
 
Jiwe kila Kona haeleweki! Katengeneza Maadui kila kona! Watumishi, Raia, Wanasiasa, WanaCCM wenzie mbaya zaidi hata Majeshi nayo hayamtaki!
Jiwe Umechuma Janga hakina Utalifaidi!
Sasa hali ni mbaya zaidi. Jeshini watu wanajishonea uniform hasa zile ambazo sio combat. Yaani hakuna ni aibu, Boot hakuna. Watu wanasubiri Nani alianzishe. Sijui itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everest Chahali, kwanza thanks for info from deep inside. Kwa vile wewe ni verified member humu na background yako ndio the biggest asset you have ya kuwa trustworthy, hivyo una command a very big respect, ukishuka tuu, kuna watu wanasimamisha kila kitu kwa kujua ni za moto kutoka kule kunako, hivyo nakushauri usitumie majina ya vichochoroni yenye kuonyesha less respect, unaweza kuongea hata kwa codes tuu na tukakuelewa bila kumuita mtu jina hilo, kwa watu wanao mrespect mtu huyo, tuna feel a bit un easy anapoitwa kwa majina ya bezo na respected men like you, hata kama ni yeye mwenyewe alijiita hivyo.

Pili, hao jamaa zako wanakulisha matango pori, take it from me, hakuna kitu kama hicho, kwa sababu ameisha consolidate everything, hao wote unaodhania wanaweza kufanya kitu chochote au kubadili chochote, wote they are nothing at all, ni marionettes tuu!.

P.
Smart!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom