Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

ww kama Bado unaangalia tbc bac na ww ni kada wa sisi mafisadi coz tbc ilikufa baada ya rafk yangu tido kupigwa chin
 
Polisi wameua tena?... tabia hii inazidi kukomaa!... lakini wataendelea kuchezea maisha ya watanzania mpaka lini?.... Ningeshauri waguswe kwa namna itakavyowaliza na wao, lakini sitafanya hivyo kwakuwa ban ziko nje nje!!!!....
 
Rashid alisema ktk kitabu chake cha KULI "Yana Mwisho haya" nothing on earth last for ever ever and ever. Kama CCM ilizaliwa basi kuna siku itakufa. Sheria ipo wazi "Hakuna Utii katika uvunjaji wa sheria (haki za Binadamu)
Nawaonya Police na wana usalama "And all military and civilian
personnel should listen carefully to this warning. In any conflict, your fate
will depend on your action. Do not obey any command to use weapons of mass
destruction against anyone, including the Innocent people. War crimes will be
prosecuted. War criminals will be punished. And it will be no defense to say, "I
was just following orders."
George Bush
 
TBC hamna kitu kabisa

Na wasubiri ving'amuzi vya startv na itv vianze ndio watajua kuwa wamepoteza mvuto kwa wa TZ,hivi sasa wanatuibia na wenzao startimes ,then wanachakachua habari hawajui biashara ni ushindani,kwa tanzania ninawakubali itv,startv na (channel 10 kidogo)
 
CHIBISII Imeshiba dhuluma za wanyonge. Nakuonya wewe mtangazaji wa CHIBISII Kwamba, ondoka huko ! mishahara yenu imepitishwa kwenye tanuru la dhuluma na kupoozwa kwa damu za watu.
MY TAKE:
Watangazaji wa TBC mtageuka mavempaya muda mfupi ujao.
 
hata hivyo hutujaambiwa kama mkutano uliendelea au uliahirishwa

Ulikuwa wapi mkuu. polisi walishindwa kizuia nguvu ya umma ya maandamano na mkutano uliendelea kama kawaida.

Mbona ITV wameonesha mkutano?... mkutano ulitapika ile mbaya.
 
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika vurugu wakati jeshi la polisi likizuia maandamano ya wananchama wa chama cha demokrasia na mendeleo mkoani morogoro.


video kwa hisani ya ITV TANZANIA ya youtube
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi ni kweli shilogile (imelogwa) kwani polisi wamegeuzwa kuwa chombo cha kupiga porojo za kisiasa. Uko wapi weredi wa jeshi la polisi?
 
Nimeona wametuma story tatu katika angle tofauti tena kwa kina sana big up ITV.
 
Hii nchi ni kweli shilogile (imelogwa) kwani polisi wamegeuzwa kuwa chombo cha kupiga porojo za kisiasa. Uko wapi weredi wa jeshi la polisi?
Si wote shilogile bali baadhi balogilwe(wamelogwa)kwa kupumbazwa na watawala ndo wanajipendekeza hata pasipostahili.
 
Tbccm ni miongoni mwa majanga yanayo likabili taifa la tanzania, nashangaa pasco alisha wahi kuweka uzi hapa tbc inahitaji kupongezwa!

Leo nimeshangaa eti habari ya chadema ya jana kuhusu Nape hawakuitoa jana wameitoa leo baada ya Nape kutoa tamko halafu mauwaji ya muuza magazeti (marehemu ally) inaacha bila kupewa kipaumbele chochote kana kwamba hakuna lililotokea.

I hate tbc wale ma youtong (Startimes) nao wamekuwa mabwege wameweka itv na startv siku mbili wamezitoa! Maamaaaae!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom