Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

Pia ITV wamesema hatimaye polisi walizidiwa nguvu pamoja na kutumia risasi lkn watu walirudi barabarani,vile vile RPC alionekana kuwa mstari wa mbele katika vurugu hizo.

My take:nguvu ya dora haijawahi kushinda nguvu ya uma kote duniani.viva forever

Good point noted....
 
Propaganda,hujuma,mauaji,kujeruhi na vitisho lakini hatimaye c.c.m wamekalishwa chini rasmi Moro
 
katika kifupisho cha TBC hebu ondoa ile herufi ya mwisho......umenifahamu eh! unapata TB (=tuberculosis "Kifuakikuu" gonjwa hilo) LAKINI ukichukua ITV ukitoa herufi V unapata IT (= Information and Technology) Umenifahamu hapo!

Umeua..
 
Jana nimesikiliza BBC, mwandishi wa BBC alilyeripoti alionyesha kama vile Chadema hawajatii amri ya Polisi ndiyo chanzo cha vurugu, na hata risasi aliyopigwa huyo kijana inachunguzwa na Polisi kwani kwa maelezo ya mwandishi kutokana na watu wengi inawezekana risasi ilipigwa na mtu tofauti. Mimi nilipata hisia anajaribu kuwa cover Polisi.
 
ITV kwakweli jinsi walivyo cover tukio la Moro wanastahili pongezi, naona kale ka wasiwasi kangu kwa ITV kanaanza kuondoka.
TBC hawajagusia kabisa, hivi tuieleweje hii tv tunayoiendesha kwa kodi zetu halafu habari wanazotoa kipaumbele ni iwe kwa maslahi ya ccm?
Polisi kupiga watu Moro ilishapangwa ndio maana nape alishasema CDM wanapanga kufanya fujo Morogoro, walikuwa wanatekeleza ili ionekane fujo zilizotokea zilipangwa na CDM.
ccm wametumia njia zote kukabili M4C wameshindwa, hii ni pamoja na nape kufuata nyayo za M4C, kashindwa yuko hoi sasa hivi kaamua kurudi na kutulia Lumumba kufuata nyayo za mukama.
Sasa wameona wajaribu kutumia jeshi la polisi, lakini waelewe kwamba moto uliowashwa hakuna wakuuzima!
CDM Morogoro wamewaambia kwamba kama polisi wanajifunza KUUA wao wanajifunza KUFA!
 
I t v(independent television)king'amuzi chenu kinatoka lini jamani?hakika jana mmetenda haki!
 
TBC mbuzi kabisaaaa! yaani hata main news za leo wao hawaoni umuhimu wa kutaja jambo hili la kihuni linalofanywa na serikali.

TBC Uchafu kabisa!!

TBC habari kuu ni SENSA! ....Jamaa kweli wamechoka.
 


WanaJF

Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.ITV imeweza kumuonyesha mtu aliyekuwa jirani na muuza magazeti aliyeuawa kinyama ambaye amesema kwamba kijana aliyeuawa amepigwa risasi na polisi kichwani huku akiwa ameshika magazeti yake.

Pia imeonyesha kwa kina mkutano wa CHADEMA, maoni ya wananchi pamoja na polisi wakipiga watu.Kupitia ITV watanzania wameweza kushuhudia vijana wa CDM wakiwa hawana hata fimbo bali wakionyesha tu alama ya vidole viwili na kubeba bendera za chama chao. Vyombo vya habari vinapaswa kuiga mfano huu.

Hongereni ITV


ITV = INDEPENDENT TELEVISION Station. TBC = Televisheni ya (Serikali ya) CCM
 
Last edited by a moderator:
We ogopa tv inayodhiriki kuchukua muda mrefu kuonyesha na kutangaza habari za michezo za nje huku tz tukiwa na changamoto kubwa ya kuinua michezo nchi wao sasa wameamua kutumia kodi zetu ktk kuitangaza michezo ya nje
 
Back
Top Bottom