Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

Kiongozi mkubwa wa ccm anauawa na wananchi wenye hasira. badala ya ccm kuliangalia hili wao wanaona mambo mswano tu.
 
Ccm mjue zoezi la kuwaua viongozi wenu lishhanza. hili halitaishia hapa kama hamtaacha kuendekeza ufisadi. huyu fisadi alikua anawadhulumu wanyonge wakamnyongelea mbali
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

Mungu akusamehe,kwa maana hujui utendalo nxt tym think before ACT!! Jitofautishe akili yako na ya mnyama!
 
Mkuu Mungu akukemee!? yule dogo haukuwa na kosa lolote kwanza huna uhakika wa kwanini alikuwa pale yawezekana hujui nayeye alikuwa na shamba.Na kufahamisha tu kwamba katika nchi yetu kuna Child Headed Family nyingi sana na nia ajabu kutoa comment kama hii.Nimekosa neno sahihi la kusema ila namuomba Mungu usipotubu hii kauli yako akukemee,roho ya kukataliwa ikuandame na giza liwe rafiki yako kila utakapokuwa.

Umesema vizuri kaka kwamba "Mungu akukemee"! usimlaani mtu wala kumtakia mabaya mbaya wako. Imeandikwa watakieni mema adui zenu na kuwaombea. unaweza ona huyo kijana na Mabina wamekufa vibaya kumbe wametubu na Bwana amewasamehe na kuwapokea. Mwisho jamani enyi wenye nguvu kwa nini hamjifunzi toka wenzenu? Aanalia akina Sadam Hussein, Gadafi, Iddi Amini walikuwa na nguvu hapa nani mwenye nguvu kama walizokuwa nazo? Mungu daima ni mwema huwainua wanyonge. Marehemu wote pumzikeni kwa Amani.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu lakini kunamazingira ambayo tunaruhusiwa kulaani na wa husika wakalaanika.Mfano akina Petro walipomkuta yule mchawi (barjesus)na mchawi yule kutaka kuwahonga hela ili wampe siri za miujiza yao. Hawakufanya compromise naye wala kusamehe saba mara sabini bali wali mlaani palepale na akawa Kipofu na maandiko yana tueleza kwamba Ukiona Mkono wako wa kushoto au jicho lako linakukwaza kwenda Mbinguni basi ni bora uukate au kuling`oa na kubaki na Mkono mmoja au jicho moja kwani ni bora kuingia na mkono mmoja Mbinguni kuliko kuingia na mikono miwili Jehanam.

Sasa hiyo mikono na hilo jicho tunalo amriwa kuling`oa ni watu wapuuzi ambao Yesu Mwenyewe alisema ni HERI JIWE LA KUSAGIA LINGEFUNGWA SHINGONI MWAKE NA KUTOSWA BAHARINI.

Kwahiyo nikikubaliana na wewe kuhusu hilo nasisitiza umuhimu wa kiasi katika kila jambo .Kumbuka niliweka qualification na ninasisitiza asipotubu hicho alicho kisema dhambi iko mlangoni mwake inamuotea na itamwandama popote atakapokuwa.
 
Mkuu Mungu akukemee!? yule dogo haukuwa na kosa lolote kwanza huna uhakika wa kwanini alikuwa pale yawezekana hujui nayeye alikuwa na shamba.Na kufahamisha tu kwamba katika nchi yetu kuna Child Headed Family nyingi sana na nia ajabu kutoa comment kama hii.Nimekosa neno sahihi la kusema ila namuomba Mungu usipotubu hii kauli yako akukemee,roho ya kukataliwa ikuandame na giza liwe rafiki yako kila utakapokuwa.

Amen

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom