Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

Nyingine
 
Attachments

  • 1387201367976.jpg
    1387201367976.jpg
    12.5 KB · Views: 348
Watu wanalalamika na kumpa rip mabina tu wakati kwenye tukio hilohilo kuna kijana mdogo kabisa kauwawa na huyohuyo mabina. Cha kujiuliza ina maana kifo cha muuaji mabina kimewauma sana kiasi kwamba mkamsahau huyu kijana mdogo aliyeuwawa bila hatia kwa mkono wa huyo kipenzi chenu mabina? RIP innocent boy
Kufa kufaana Sasa wajanja watajinufaisha na huo msiba Polisi wataendesha kamata kamata asiyekuwemo na aliyekuwemo atakamatwa na ili uachiwe lazima uweke mpunga mrefu mezani pesa ya sikukuu inasakwa kisesa sasa Kufa kufaana vp wapambe wa Mabina wamekamatwa?au wanakamatwa wa upande wa pili tu ? Chezea kufa kufaana wewe .......
 
Kila penye tukio hapakosi vioja ni kweli Polisi hawahangaiki na Mtoto aliyepigwa Risasi na mabina wala wapambe wa mabina hawajabanwa ! Wapo busy na wale wananchi wenye hasira Kali waliompiga na mawe hadi akafa kamata kamata unaendelea kwa kasi kisesa hapakaliki
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

Yaonekana una umbo la bin-adamu ila yaonekana huna Ubin-adam na una umbo la Mtu ila huna Utu. Mungu akisaidie uwe binadamu mwenye ubinadamu na Mtu mwenye Utu.
 
Watu wanalalamika na kumpa rip mabina tu wakati kwenye tukio hilohilo kuna kijana mdogo kabisa kauwawa na huyohuyo mabina. Cha kujiuliza ina maana kifo cha muuaji mabina kimewauma sana kiasi kwamba mkamsahau huyu kijana mdogo aliyeuwawa bila hatia kwa mkono wa huyo kipenzi chenu mabina? RIP innocent boy

Wote wapunzike kwa amani
 
R.I.H fisadi mabina!
 
Ulichofanya na wewe ni kuanzisha uzi mpya kwa maudhui tofauti kwa jina la huyo na anauteka tena na huu!!!!!
 
Hivi ilikuwaje CCM wakaliruhusu jambazi hili ambalo kila mtu mwenye akili zake pande hizo za Mwanza analijua kwa ujangili wake, uporaji, mauaji etc, liende kuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa?

I mean hata kama ndiyo chama kuoza , hapo sasa kilifikia kwenye uvundo kabisa usiosikia ubani.
 
Hivi ilikuwaje CCM wakaliruhusu jambazi hili ambalo kila mtu mwenye akili zake pande hizo za mwanza analijua kwa ujangili wake, uporaji, mauaji etc, liende kuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa?

Hili nalo swali la muhimu sana!!!!
 
Mkuu Mungu akukemee!? yule dogo haukuwa na kosa lolote kwanza huna uhakika wa kwanini alikuwa pale yawezekana hujui nayeye alikuwa na shamba.Na kufahamisha tu kwamba katika nchi yetu kuna Child Headed Family nyingi sana na nia ajabu kutoa comment kama hii.Nimekosa neno sahihi la kusema ila namuomba Mungu usipotubu hii kauli yako akukemee,roho ya kukataliwa ikuandame na giza liwe rafiki yako kila utakapokuwa.
Amiin Amiii Ewe Molaa kwa mapenzi yako tutakabariye dua hii!
 
Kila penye tukio hapakosi vioja ni kweli Polisi hawahangaiki na Mtoto aliyepigwa Risasi na mabina wala wapambe wa mabina hawajabanwa ! Wapo busy na wale wananchi wenye hasira Kali waliompiga na mawe hadi akafa kamata kamata unaendelea kwa kasi kisesa hapakaliki

Ndio mkome kujichukulia sheria mkononi, unataka wapambe wa mabina wafanywe nini? Muuaji mmeshamuhukumu pale pale! We kilaza kweli!
 
Hivi ilikuwaje CCM wakaliruhusu jambazi hili ambalo kila mtu mwenye akili zake pande hizo za Mwanza analijua kwa ujangili wake, uporaji, mauaji etc, liende kuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa?

I mean hata kama ndiyo chama kuoza , hapo sasa kilifikia kwenye uvundo kabisa usiosikia ubani.

Katokea upinzani huyo, alikuwa UDP.
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo
Sidhani kama watanzania tumefikia hapa kisa ni tofauti ya kivyama, kuna haja ya kuiangalia hii issue kwa jicho la kawaida kabisa
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

Hapo ndipo CCM tumefika. Hayo ndio matokeo ya chama kushika "Utamu". Hawana hata chembe ya utu tena ndani yao bali wanaona kupoteza kura yao moja ni kama kupoteza pango la Magogoni. Kwao huyo mtoto ni mpinzani wala si kitu chochote kwao. Utaona Maccm yatakavyo jazana msibani na rangi yao ya kijani kulinda upinzani usiseme neno lolote pale.
Ufisadi utawala akili zao mpaka wajisahau kuwa nao ni watu. m.23 umetufunua macho sasa kweli tumewaamini kuwa 2015 mtafanya ya kutisha. Kama kule.... mlipanda na kuonesha bastola hadharani bila hata kukemewa. Ule ulikuwa uchaguzi mdogo tu, je 2015?? Naona mtapanda na AK 47.
Mtaua saana, mtang'oa meno saana, mtang'oa macho saana. Lakini Peoples Power itashinda tuuuuuu. Ni mawazo tuu
 
Back
Top Bottom