Ndugu yangu Patrick Elias; huyo kijana mdogo kwa watu wa CCM hana tofauti na mzoga.Kiuhalisia wengi tumepitiwa kutoa pole zetu siyo sababu ya Mapenzi kwa huyo aliyekialika kifo chake mwenyewe ila kwa uchungu na hasira za namna ambavyo nchi hii imefikika . Baadhi ya watu kwa sababu wako chama fulani wanaweza wakafanya chochote wakitakacho,Kuua,Kubaka,Kupiga mabomu Kung`oam meno,Kutukana matusi mazito Bungeni bila kuonywa,Kunyanganya watu ardhi yao na kudharau Mahakama,Kuuza dawa za kulevya na kujisifu hadharani na hakuna anaye hoji wala kuuliza sababu tu ni Mwenzetu (mwenzao).
Ila kwa familia ya huyo kijana tunawapa Pole sana kwa msiba huu uliosababishwa na -------- mmoja kushindwa kukitumikisha kichwa chake sawasawa na kusababisha vurughu hizi bila kuwepo sababu za msingi. RIP Dogo umewahishwa sana at that young age