Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

Patrick Elias

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
332
108
Watu wanalalamika na kumpa rip mabina tu wakati kwenye tukio hilohilo kuna kijana mdogo kabisa kauwawa na huyohuyo mabina. Cha kujiuliza ina maana kifo cha muuaji mabina kimewauma sana kiasi kwamba mkamsahau huyu kijana mdogo aliyeuwawa bila hatia kwa mkono wa huyo kipenzi chenu mabina? RIP innocent boy
 
Vipi mashati ya kijani na njano yapo kwa wingi hapo? Kama ndio basi watu wa Kisesa na kwingineko wajue habari ndio hiyo.
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo
 
Ndugu yangu Patrick Elias; huyo kijana mdogo kwa watu wa CCM hana tofauti na mzoga.Kiuhalisia wengi tumepitiwa kutoa pole zetu siyo sababu ya Mapenzi kwa huyo aliyekialika kifo chake mwenyewe ila kwa uchungu na hasira za namna ambavyo nchi hii imefikika . Baadhi ya watu kwa sababu wako chama fulani wanaweza wakafanya chochote wakitakacho,Kuua,Kubaka,Kupiga mabomu Kung`oam meno,Kutukana matusi mazito Bungeni bila kuonywa,Kunyanganya watu ardhi yao na kudharau Mahakama,Kuuza dawa za kulevya na kujisifu hadharani na hakuna anaye hoji wala kuuliza sababu tu ni Mwenzetu (mwenzao).

Ila kwa familia ya huyo kijana tunawapa Pole sana kwa msiba huu uliosababishwa na -------- mmoja kushindwa kukitumikisha kichwa chake sawasawa na kusababisha vurughu hizi bila kuwepo sababu za msingi. RIP Dogo umewahishwa sana at that young age
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

Mkuu Mungu akukemee!? yule dogo haukuwa na kosa lolote kwanza huna uhakika wa kwanini alikuwa pale yawezekana hujui nayeye alikuwa na shamba.Na kufahamisha tu kwamba katika nchi yetu kuna Child Headed Family nyingi sana na nia ajabu kutoa comment kama hii.Nimekosa neno sahihi la kusema ila namuomba Mungu usipotubu hii kauli yako akukemee,roho ya kukataliwa ikuandame na giza liwe rafiki yako kila utakapokuwa.
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

Serious, kwa kauli hii UNAIJENGA CCM au UNAIBOMOA? Nape hawa vijana wako inabidi uwapeleke INDUCTION COURSE maana badala ya kukusaidia wanazidi kukuharibia!
 
kijana wa bavicha unamatatizo huyo dogo alikwenda kuu na yeye yakampata.akome kufuata mkumbo

mkuu uvyama usitupotezee utu wetu vyama vitakkufa ila maisha yataendelea. TUBU NA KUIAMINI INJILI MKUU!
 
tumesahau au hatujali kwa sababu ya hasira tulizonazo juu ya haya majinga yasiyotii sheria na bado hadi tuyamalize yote:
 
Jionee
 

Attachments

  • 1387200865993.jpg
    1387200865993.jpg
    78.2 KB · Views: 455
  • 1387201051325.jpg
    1387201051325.jpg
    21.5 KB · Views: 435

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom