Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,915
- 30,259
- Thread starter
- #21
Jidu...Sihangaishi nafsi yangu mkuu.
There are glaring incosistencies katika hadithi zako.
Vijana wa sasa wanaweza kuchukua hadithi zako kuwa historical facts, kumbe ni opinions zako tu.
Sishangai kuona historia ya babu yangu kuwa aliunda African Association 1929 na baba yangu akaasisi TANU 1954 kutoka TAA kwako ni hadithi.
Sishangai kuwa hushangazwi iweje historia hii haiukuandikwa?
Ila mie nashangaa kwa nini wewe hili halikushughulishi.
Prof. Haroub Othman akitaabika na ukweli kuwa Abdul Sykes aliunda.
Mimi nikishangaa kwa nini Prof. hashangai kuwa baba yake Abdul, Mzee Kleist aliasisi African Association.
Nikijiuliza mbona Prof. hashangazwi na Nyerere kuunda TANU tena peke yake na yuko ugenini?
Usijitaabishe.
Hii ni historia ya wazee wangu na mimi nimeiandika kadri nilivyoifahamu.
Unadhani kuna mtu anaweza kuwajua wazee wangu kuliko mimi?