Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,885
- 38,841
Lete takwimu hapa,halafu kuna sehemu ambayo watu hawafi?Wewe unafikiri uchawi ni kutupiana tu mabusha na kupaa kwa ungo. Pole sana. Unaweza kuniambia ni kwanini mnazika ndugu zenu sana baada ya disemba na pasaka? Unasema kusikia mganga wa kichaga lazima ustuke..ebu niambie yule mzee wa pale rau madukani ukishayapita maduka kule kwenye kona mbele anafanya nini, pale rombo maarufu kcmc kuna nini, kule vunjo kitongoji anapokaa mzee manjuu wa majengo kuna nini. Usitake tuweke wazi mambo yenu.