Tujulishane tabia za wachaga

Mke mwema anatoka kwa bwana, swala si kabila, la muhimu unampenda nani?
 
Wachaga hatuna shida % kubwa ni watu wakarim,wachesh,chapakazi,watafutaji n.k. Ukituelewa na kutuheshim utatupenda bure.
Umesahau kujitambua, vilevile hawadanganyiki hovyo hovyo ndio maana vijana wengi wanawachukia hasa wale wanaotafta wachumba/wapenzi
 
Sijaona ushauri hapo kwakua naona wachaga wako tofauti kila ukipita kilima na kilima tofauti pia labda tujue mchaga wa wapi!!
 
Wanawake wa Kichagga kaa nao makini wako after money tu wanaweza hata kuku RIP as soon possible mkuu hawana simile ,
 
Usisikilize wanaume vibamia lazima wakukatishe tamaa hawajiamini. By the way mke mwema hutoka kwa bwana
 
natafuta binti mrembo wa kichaga tena wa kimachane nina wapenda huyu mngoni nliyenaye sijui ananipa mapenzi gani anayemjua mwanamke wa kichaga naomba anipm
 
Wanaume msio na nguvu za kiume mnaogopa wanawake wa kichaga[emoji23] mwanaume unaogopaje mwanaamke kisa kabila lake....[emoji23][emoji23]
Waacheni tutawaoa wenyewe.
 
Ww oa tu mchezo wao utaujua mwishon wanakaba sana na kishambulia [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wanawake wa kimachame wanasifika kwa roho mbaya na kuua waume zao,
wanaume wa kichaga ukimzingua anakupiga na bastola(anakuufoosaro)
Nipe takwim wanaume wangap wameuliwa na wake zao wa kichaga
 
Wachaga wanaongoza kua nawajane wengi....take care
 
mwambie akupe urithi wako kabisa kabla ajaenda huko
 
Ooh yes... Ye akaribie tu hatajuta
Sifa zote najua unazo lakn je ,hiyo ya kudanganyika unayo ? Me akishaiona au walau kuona dalili zake lazima avutike tu hata pasipo kukaribishwa,make nyie masaa yote ni uja ujanjaujanja tu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…