Tujuane walau kwa sehemu tulizopita

Tujuane walau kwa sehemu tulizopita

hahahahahaa

unacheka nini sasa? kwani Morg hajui? dadeki, leo namngoja mpaka saa nane usiku!

mwambie jana alinilaza p.umbu juu kweli rafiki yangu! dah!
 
Last edited by a moderator:
unacheka nini sasa? kwani Morg hajui? dadeki, leo namngoja mpaka saa nane usiku!

mwambie jana alinilaza p.umbu juu kweli rafiki yangu! dah!

kwi kwi kwi leo hamna movie lala tu
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh hii thread watu wanaichukulia utani bt iko real sana,niseme namis sana Lara 1 .please popote ulipo lara1 nahitaji kuonana nawe physically i know u know who I am,mie ni member mkongwe kiasi flan hapa jf nolikuwa bize tu na kutafuta chapaa.lara1 nipm wkend hii tukae kwenye viti virefu tuongee thanx dear
lara1 unaitwa huku
 
Last edited by a moderator:
Ujue tulipopita ili iweje? Umetumwa?
 
Usijekutana na beki tatu wenu wa zamani uanze kukumbushia uue ndoa yako mwaya baki. Njia jf
 
Teh teh teh hii thread watu wanaichukulia utani bt iko real sana,niseme namis sana Lara 1 .please popote ulipo lara1 nahitaji kuonana nawe physically i know u know who I am,mie ni member mkongwe kiasi flan hapa jf nolikuwa bize tu na kutafuta chapaa.lara1 nipm wkend hii tukae kwenye viti virefu tuongee thanx dear

Ungeaza na alama ya @ ili ummemtion. Sasa hapa umepiga kelele weee ila mwenzio hashtuki kwamba kaitwa. Till next time.
cc lara 1
 
Last edited by a moderator:
Wengine tukitaja njia tulizopita,tutajiweka uchi...anyway hapo kwa COET tumeintersect....


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Aha aha aha aha aha ah aha aha aha aha aha dah nimecheka sana mkuu Excel we nouma.

Gecha Gecha Primary school - Tarime kanda maalum

Ngoreme Fighting Academy High School - Musoma.

North Mara University (NMU) - Sasa unaingia Mara.

Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Aha aha aha aha aha ah aha aha aha aha aha dah nimecheka sana mkuu Excel we nouma.

kwa sasa shule inachukua koz ya kuondoa boko haram na anti baraka... modules ziko kumi.. kama unapenda karibu sana Tarime...!

cc Khantwe!
 
Last edited by a moderator:
kwa sasa shule inachukua koz ya kuondoa boko haram na anti baraka... modules ziko kumi.. kama unapenda karibu sana Tarime...!

cc Khantwe!

Aiseee field mnafanyiaga wapi vile.....
 
Last edited by a moderator:
Hizo Kilometa zote ulizokimbizwa unataka kumjua kila mtu hapa JF? Una lako jambo. Nimekushutia na nitabaki Mwananchi na raia mwema na ndiyo maana niko uraiani pia
Nikianza mimi nilisoma moshi tech nimemaliza koeti now nipo uraiani!
 
Back
Top Bottom