The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Nikianza mimi nilisoma moshi tech nimemaliza koeti now nipo uraiani!
sidhani kama wafungwa wana access ya internet
Hahahahahahaha wote tupo uraiani au sio?
mbona wewe unayo?
halaf ww mjeda kakuruhusu uchezee laptop yake?
he he, yuko nait leo.
Na bando lake natumiaje sasa.
Kweli......Nikianza mimi nilisoma moshi tech nimemaliza koeti now nipo uraiani!
Nikianza mimi nilisoma moshi tech nimemaliza koeti now nipo uraiani!
Gecha Gecha Primary school - Tarime kanda maalum
Ngoreme Fighting Academy High School - Musoma.
North Mara University (NMU) - Sasa unaingia Mara.
Ahsanteni sana!