Hujawahi kuishi dar..vitongoji vyake huvijui jamani au ndo Obay nini Masaki....ipo kitongoji cha Manzese...
Cc benteke
Kaizer huko hujanipeleka hata kwa benz.....kidogo nifukuzwe kazi kwa sababu ya bint wa kimanyema....yaani ilikua natolewa nje asubui kuota jua na kurudishwa ndani. Ni balaa. Pesa yote ya shamba iliishia kule.
Ndo naingia advance sasa hivi
Duuuuh.....natamani ningekuelewa...
Yaani sasa hivi, saa tisa na dakika arobaini na tano ndiyo unaingia advance?!
Mmmhhhhhhh.....!!!!!!! Kujuana tena labda sio hapa jf!