.. Halijakukuta wewe. Siku wakikutembelea ukasafishwa vizuri utatia akili....
Kwa kweli mtindo wa kujichukulia sheria mkononi siyo mzuri kabisa,
View attachment 36265
Kwa kweli mtindo wa kujichukulia sheria mkononi siyo mzuri kabisa,
View attachment 36265
Kabisa kabisa,Dah!kama ma great thinkers we have to think deep about ....thou all of us we know and we agree kua hawa vibaka nitatizo sugu lakini tukibariki mfumo huu wa kujichukulia sheria mkononi unaweza kutufikisha pabaya, naomba nieleweke " SITETEI UOVU "
Sio wote wanao fikwa na hali hii hua ni kweli wanastahili adhabu husika wengine huponzwa na misimamo yao ,chuki tu binafsi,kuzidiwa na nguvu ya kifedha , tukumbuke mtaani hivi sasa kuna vijana wengi sana wasio na ajira na ndio wanamapinduzi wakubwa nowdayz.
Binafsi naona kuhangaika na matawi sio njia sahii ya kuukausha mti ni vyema tukaliangalia tatizo kwa upana wake otherwise tukubali kujimaliza wenyewe kitaa .
Jeshi la police na serikali kwa ujumla ndio wakulaumiwa kwanza.
<br />sijaifurahia hiyo adhabu na wala sijachukia............