Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Acha pumba JK has no balls kufanya hicho unachokisema!!!!!!!!!!! Hapa ilikuwa ni kulinda aibu yake period!
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.
Mkuu Omarilyas, acha kuongea uongo, usifikiri wote mambumbumbu hapa mazee..!Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
masha si ndio aliandika mkataba wa DEEP Green. Hiyo Deep green ilichota bilioni 40 na hizo hela ndio zilimwingiza Kikwete ktk uchaguzi wa 2005wewe hujui suala EPA
ni kwamba huyo Masha amehusika sana na hiyo ishu kwa sana tu.sasa akishindwa na wadau watamhoji na itaoneka JK naye yumo
habari ndio hiyo
Masha si ndo ana Law Chamber ambayo Mtoto wa JK anapata kula yake ya kila siku kama sikosei
Sawa wewe mwenye point na kujua mengi....
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
Mkuu Omarilyas, acha kuongea uongo, usifikiri wote mambumbumbu hapa mazee..!
This one has been signed, Steve Dii....!!!!!!