Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

chibingo

Member
Feb 7, 2009
46
8
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.
 
Kuna namna sio bure!! Au mama yule wa Arusha kuna namna..
 
Masha si ndo ana Law Chamber ambayo Mtoto wa JK anapata kula yake ya kila siku kama sikosei
 
wewe hujui suala EPA
ni kwamba huyo Masha amehusika sana na hiyo ishu kwa sana tu.sasa akishindwa na wadau watamhoji na itaoneka JK naye yumo

habari ndio hiyo
 
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
 
Uongo mwingine inabidi ukate kichwa kwanza kabla ya kuuuamini
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Acha pumba JK has no balls kufanya hicho unachokisema!!!!!!!!!!! Hapa ilikuwa ni kulinda aibu yake period!
 
JK Alipokuwa anahojiwa na Cloud FM kuhusu mawaziri vijana alitolea mfano Masha na Ngereja, akasema wamepata uzoefu wa kutosha kwa hiyo ataendelea kuwatumia kama mawaziri. Nadhani alikua anamtaka aendelee kuwa waziri. Sasa itabidi ampe ubunge wa viti maalumu (ooh sorry, ubunge wa kuteuliwa)
 
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

Ana nyaraka za Mradi (wa kifisadi) wa kutengeneza kinachoitwa vitambulisho vya uraia.

Ni dili ya JK, Masha and Sons.
 
yani bado hujui?...si wanafanya biashara haramu pamoja "human trafficking..did i said drugs?...ohhh not drugs bana biashara haramu ya kusafirisha na kuwa-tanzaniisha wageni hasa wasomali..yap muulize masha kwanini huwa hawarudishi makwao wasomali...yesss..si waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya uhamiaji pia" ..pia jk domo zege so masha huwa anampigia mapande ya milupo hasa kila mara anapokuwa ameenda states ...ahahahaha...

maswahiba hawa banaaaa...ohhh pia nimesahau..si unajua masha huwa anamlipia karo mtoto wa jk anaitwa riz-1 kila anapoenda kusoma nje ya nchi...ahahaha... ohhh pia nimesahau "masha sindio kamuajiri mtoto wa jk hapo IMMMA...ndio dogo wa jk ni lawyer "mkusanya-vyeti" na asiye-practise....

YES I SAID IT kwani lini alishabeba hata file la kesi yoyote toka amalize college na kuliingiza hata kwa karani wa mahakama...ohhh sikuizi dogo anataka kuvaa viatu vya mzee wake..ahahahaah...like father like son...ndio mbona THE KENEDY family wapo hivyo...why not the JK family hapa kwetu
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
Mkuu Omarilyas, acha kuongea uongo, usifikiri wote mambumbumbu hapa mazee..!

This one has been signed, Steve Dii....!!!!!!
 
Hapa Tunahitaji muda kujua nini zaidi kilitokea,mi natambua hakuna kitu kinachobaki kuwa siri,sijui lini ila nina uhakika data za kuaminika tutazipata tu!Iwe kikwete kahusika ama la,isipokuwa tatizo ni mfumo mbaya wa uendeshaji wa taasisi za serikali.
 
wewe hujui suala EPA
ni kwamba huyo Masha amehusika sana na hiyo ishu kwa sana tu.sasa akishindwa na wadau watamhoji na itaoneka JK naye yumo

habari ndio hiyo
masha si ndio aliandika mkataba wa DEEP Green. Hiyo Deep green ilichota bilioni 40 na hizo hela ndio zilimwingiza Kikwete ktk uchaguzi wa 2005
 
Iko wazi JK alikuwa tayari kutoa kiasi cha bilioni moja kumpa Wenje ili Masha apite na hata vifo vya watu 4 pale Mwanza kwa sababu ni check-bob mwenzie na wanahofu Masha kaondoka bila kuweka sawa uozo ndani ya wizara ya mambo ya ndani hasa issue ya national ID_ cards
 
Sawa wewe mwenye point na kujua mengi....

Mkuu, tunaheshimu mchango wako katika mengi, lakini katika hili unaongopa. Hivyo usitake kutafuta sympathy kwa kujifanya unabezwa. Some things are indefensible, you know that!!
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Kuanzia Mwenyekiti wa CCM mpaka mwanachama wote WAHUNI. Kugawa rushwa kwa kampeni za kitanda kwa kitanda sio uhuni huo.
 
Back
Top Bottom