Jk alienda Mwanza kujihakikishia ushindi wake.Nilijua kiama cha Masha kimefika alipotofautiana na wakubwa wa CCM kuhusu uraia wa Bashe.Kama wanajamii mnakumbuka,JK,Makamba walisema Bashe sio raia,Msekwa alikataa kuzugumzia suala la bashe akidai yuko vijiji Mwanza.
Masha alisisitiza yeye ndio mtu wa mwisho kusema mtu ni raia au sio naakasema Bashe ni raia halali wa Tz,hapo akaweka tofauti kubwa .
Katika siasa hakuna rafiki wakudu wala adui wa kudumu.
Mungu ibariki Tanzania.