Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Hahahaha mbele tembea nyuma geuka mkiudhiwa sasa unatuma sms leo inajibiwa keshokutwa....ujitie ke unampanda kichwani sasa uje uone utafurahia show km hujabaki single milele

Nyie watu hapana sema ndo hivyo mko watamu kiaina
 
Uongo acha fix mzee baba Kama umempenda Nenda straight acha fix zako uchwara aise
 
Jamaa ana technic kali kinoma lazima atoke na mtu hapa
Naona mnavoingia kwenye mtego

Ngoja na mimi nitumie hii technic
Ipi hiyo mkuu....hapa tunacheka tu mkuu,maradhi ni mengi maisha matamu pia
 
Wapo wanaojitambua kabisa wanakuwekea mazingira
 
Wanawake ni kunguru, hawafugiki. Ni vigumu kujua ni nini hasa wanawake wanahitaji kwa kuwa akili zao wanazijua wao wenyewe. Tuzidi kuwaombea.
Ni kweli mkuu
 
Nahisi style za maisha ya sasa yanachangia sana, ndio maana utaona let ya watu kuachana kushuka miaka ya 70... ni ndogo kulinganisha na 80 kuja juu...
Duh i saayyy[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] "let" ndo nn mkuu naomba usiwe umemaanisha rate maana dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…