Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea.
Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa.
Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya Risasi ilitumika', najaribu kuifananisha, na Risasi iliotumika Kumuua JFK '
Kama Vijana hatukuumizwa na Hilo , Tulisonga mbele.
Je Utulivu wetu ,mbele ya Wauaji wetu, siitakua ni kújisalimisha na Kuwasaliti wenzetu walouliwa?.
Kijana amka, Kijana kua Tayari , ni mpaka MTU wa mwisho Kuuliwa ndioo Kijana ukubali kushindwa !!.
Lazima Tukomeshe Utekaji na Mauaji.
Lazima Watoto wa Watekaji na Wauaji wetu waishinde Ndani mwao tu na wasitoke, Magari na Pesa wanayotuonyesha wavitumie Majumbani kwao Ndani lakini sio mbele ya macho ya Watanzania.
Lazima tulinde Rasimali za Nchi ziwanufaishe wote
Lazima tusimame na Mzalendo Polepole
Lazima tusimame na LISSU
Lazima tuitafute Katiba MPYA.
Lazima tupate Reforms za Kiuchaguzi .
Utaishije na Furaha, wakati Kuna Polisi aliingia Ndani ya Nyumba akaua Mama na Binti zake?.
Utaishije na Furaha, wakati walivamia ukumbi wa kuonyesha Mpira wakapiga Risasi na kuua Vijana wote mule Ndani??.