beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Gamba umenigusa rede ya wote hehe kama hautaki sambaa nenda kauze ugali na dagaa hahaaaaa na mdako nilikua nachezahad na mkono wa kushotoRede ya wote...
Reason: mnachanganyika ma-HE na ma-SHE
Mdako
reason: hamkimbizani,ni mzuri mkiwa mmechoka michezo mingine ya kutoa jasho..
Gamba umenigusa rede ya wote hehe kama hautaki sambaa nenda kauze ugali na dagaa hahaaaaa na mdako nilikua nachezahad na mkono wa kushoto
gololi.. Enzi za madungu, macho ya paka, kipusa n.k. Ukiwa na dungu inabidi umtafute mwenye dungu mwenzako ndo mcheze naye. Ukiwa na kipusa au macho ya paka kila mtu atataka kucheza na wewe kwa matarajio ya kukula vigololi vyako..!
1.Hide N' Seek
2.Acrobatics N' Martial Arts
Jaman si unit hun naumwa uwiii mafua nahis nipo weakhujambo beibe..
Gee cee wooow dats preety name any way hapo umetishaaa nimechezesha vichupa saaanaJina langu refu sana.. Hivyo watu wanatumia "nick name" yangu,ya Gee Cee..
Bora uweze kushoto,kwani kujifunza kulia ni rahisi.. Niliwahi kufungwa P.O.P. ikawa tabu kwenye mdako..
Nikahamia kwa wanaume ambako nilijifunza danadana..
Husninyo mpenzii umenchuniaaBeibe nasty....
Mmmh enz hizo kwakweli sie wakayumbaa hapoo hatupoo kabisaaa1.Hide N' Seek
2.Acrobatics N' Martial Arts
Husninyo mpenzii umenchuniaa