Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
mimi nilikuwa napenda ule baba na mamawakati upo mtoto ulikua
unapenda cheza mchezo upi na nikwanin? Mimi nilikua napenda saana rede
coz nilikua straiker wao n nilikua najua, na pia kombolela coz nilikua
napenda kujifichaficha weee haya wewe jeee.