Tujikumbushe 'wachumba' wetu wa utotoni

Mtambuzi
Hata zamani wale wachumba wakubwa/vibabu vilikuwa vinawafanyia kweli mabinti vikipata nafasi. Sema ilikuwa haisanuki au inamalizwa kifsmilia.

Ilikuwa honest ni ile ya watoto kwa watoto (it was simply exploration); siku hizi hii imepungua sana(lhope so) kwani watoto hawachezi outdoors sana ni full macartoon!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi
Hata zamani wale wachumba wakubwa/vibabu vilikuwa vinawafanyia kweli mabinti vikipata nafasi. Sema ilikuwa haisanuki au inamalizwa kifsmilia.

Ilikuwa honest ni ile ya watoto kwa watoto (it was simply exploration); siku hizi hii imepungua sana(lhope so) kwani watoto hawachezi outdoors sana ni full macartoon!
Hiyo imechangiwa na kuwepo kwa maradhi ya ukimwi, kila mzazi anawajibika kumlinda mtoto wake......................Pia tabia zisizofaa kwa baadhi ya watoto wa siku hizi kutokana na mwalimu tuliyenaye majumbani mwetu namaanisha TV, kumechangia kw akiasi kikubwa kuathiri tabia na mienendo ya watoto wetu. zamani wakati wa utoto wetu, tukifanya mchezo wa baba na mama tulikuwa tunafanya kijuu juu, lakini siku hizi wanatumbukiza kabisaa.................sasa kama mmoja alizaliwa akiwa ameathirika, hilo ni tatizo!

Siku hizi, hakuna mtoto asiyejua kujamiana, tena wanalizungumzia jambo hilo kwa umahiri mkubwa............!
 
mi mchumba angu wa utotoni alikua mbabu mmoja hivi nilikua namchukia,nilikua namchimba mama yangu mkwara kuwa sitaki kuolewa na hili libabu,mama yangu anacheka hadi anakaukia anasema penda usipenda keshakutolea mahari lazima akuoe,nilikua nalia,na mbabu naye akija kwetu kitu cha kwanza lazima aulize mchumba wangu cheusie yuko wapi hahhaaaa nilivyoingia secondary mbabu akataka kufanya kweli eti ngombe azeeki maini duuu,sina uhakika kama bado anaishi maskini yule mbabu wa watu.

Hako kababu kakowapi now?
 
Mie bibi zangu wote wa mtaani walikua wananiita mme wao mwanzo nilikua sipendi ila i got used to it after sometimes na sahizi napenda sana wakiniita hivyo, natamani nirudi bongo nisikie wake zangu mabibi wakiniita mme wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom