Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
Chooni? Mlikuwa mnajiskiaje?
Bwana sikumbuki, possibly nilienda kukojoa kamchuchu kakanifuata!
Chooni? Mlikuwa mnajiskiaje?
Ayi kaka ningejua umeingia humu, nisingetoa upuuzi huu humu! Kweli mama angenifinya mpaka ningeipata! Ila thank God, watoto wa siku hizi hawachezi sana michezo ya baba na mama thanks to Cartoon Network!
Mmmh dada kwani kulikuwa na utamu wowote basi,tulikuwa wadogo mno jamani hata starehe haikuwepo ila sijui binamu kama alikuwa anaijoi kwani yeye alikuwa mkubwa kidogo.Tukikutana siku hizi tunataniana tu,ila namtamani maana alivyofungasha,si unajua watoto wa kinyamwezi walivyofungasha huko backyard
Sio kosa as long as ulikua mtoto!
Ukikataa kula unatishiwa kuitiwa mchumba unalia na chukula unakula hahahaha utoto raha
Nnmh hiyo ya kuwa 'marafiki' maana yake mlikuwa mnaDO?
WHAT
I know, hata hivyo mara nyingi ilikuwa kugusana tu! Vipi Eiyer nawe ulicheza michezo hiyo?
haya majibu yako ndo yanaletaga utata juu ya jinsia yako...
AU UNACHANGIA ID+PASSWORD NA MKEO??????
Nakumbuka nilido na mtoto wa baba mdogo,tena ilikua 1986 yani huwa najiuliza tulichokua tunafikiria!
'Meri', 'Firida', 'Bebi'...! Hata sijui wako wapi. Those days......mnakumbuka 'kombolela' la jioni kiza kikiwa kinaingia!
...yawezekana!Hey, mbona mimi naitwa Mary, na my childhood friend anaitwa Frida? Du isije ikawa.....???
...yawezekana!
Pwani, Morogoro...!Mkoa gani? Chini ya miti? Kahawa? Migomba? Nyuma ya banda la kuku?
I know! Yaani natamani sasa kukutana nao! Najua wengine pengine watakuwa wanakaribia kujukuu sasa!Just kidding bwana!