Tujikumbushe vitabu vya zamani

vuta nkuvute
mhanga wa ikulu
mkimbizi
rosa mistika
haini
kikosi cha kisasi
kivuli kinaishi
 
1 GAMBA LA NYOKA 2 TULIVYOONA NA TULIVYOFANYA UINGREZA 3 JANGA SUGU LA WAZAWA 4 TUMGIDIE ----- 5 MAZUNGUMZO YA ASUBUHI 6 MAZUNGUMZO YA MCHANA 7 MAZUNGUMZO YA USKU 8 MASHETANI 9 NGUZO MAMA 10 MOTO WA MIANZI 11 NYOTA YA REHEMA 12 NJOZI ILIYOPOTEA 13 MIRATHI YA HATARI 14 KUSADIKIKA 15 Dunia Uwanja Wa Fujo Cha Gabriel Ruhumbika Ambacho Kinasema Kuwa Duniani Kumejaa Fujo Tupu Na Kila Mwanadamu Anapozaliwa Anakuja Na Fujo Zake Kisha Anaondoka, Alizaliwa Nyerere Akafanya Fujo Zake Kaondoka,fujo Anazoziongelea Ni Kushindwa Kwa Ujamaa, Rushwa, Uongozi Mbaya, Umalaya, N.K. Hvy Kila Mwanadamu Huja Na Fujo Zake Kisha Anafanya Fujo Zake Kisha Anaondoka.
 
1.oparesheni vipusa
2.Nteko vano mapato
3.Titi la mkwe
4.Yai jeupe
5.Watanitambua
6.Amekufa anacheka
7 . pili pilipili
8 . Dunia hadaa,ulimwengu shujaa
9.Unyama wa mafia
10.Sikunyongwa
11.Johari ndogo

Amekufa anacheka siyo kitabu bali ni chapter ya kwanza kwenye hadithi ya Simu ya Kifo
 
Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quterman na wenzake,,kuiendea nchi ya watu weupe.Bonge la kitabu japo kwa kiwango fulani kinamdhalilisha mwafrika

mkuu hicho ni chapili cha kwanza ni mashimo ya mfalme sulemani wahusika wake wakuu ni Umbopa,Hener,God na Gagula kichawi kweli vitabu vyote hivyo ni vizuri mno
 

Mkuuu pia nahii hadithi ilikua imaitwa.KISIWA CHA KITINTARE wahusika wakuu walikua OBI,LINDA,na ZUMO:thumbup::thumbup:
 
hawafu mwenye nguvu
sikulamba sukari
mkutano wa wanyama
la la laaaa
Utanikumbuka
Safari ya kigoma

Mkuuu kilekingine kiliitwaje kweli nakumbuka tu, onawalesiafuuuuuuhuu walumuwakowanakusifuuuuuuuuuu hukuanapuliza chai hadi inapoa nishidaaaaa😛😛😛😛
 
nataka nikisome tena kitabu cha hekaya za abunuasi!!
nakipataje?
online naweza kukipata?
 
Jamaa hodari Kisiwani....Duh umenikumbusha mbali sana
 
Amekufa anacheka siyo kitabu bali ni chapter ya kwanza kwenye hadithi ya Simu ya Kifo

Uko sahihi kiongozi jamaa anataka kutudanganya! Ni yule Mzee aliyewekewa sumu kwenye sigara na yule binti!!
 
dah nakumbuka darasa la la nne kitabu cha kiswahili enzi zile kuna stori moja tamu ya MANGASINI na MFALME, darasa la 3 kuna MUWA ULIOZAMISHA MELI, SAFARI YA MINJINGU, dah tumetoka mbali, la pili kulikua na PAMELA NA KIPINI, TOLA ALIA GIZANI

WEZI WA MIFUGO, SADIKI NA CHITEMO, daah! Sizitaki mbichi hizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…