Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
  • Kipindi kile mtu ukigonga kopi buku(thread 1000) ulikuwa unatangazwa hapa na mods...tunakupa ma-congratulation kibaooo!!lakini siku hizi wapi bana!!

  • Kipindi kile ukichoka kusoma forums basi we ulikuwa unaenda jukwaa la music tu...aagh full burudani, nilikuwa napenda sana kusikiliza zilipendwa akina Mbilia Bel, Franco, Remmy ongala, Taarab n.k...dah siku hizi hamna kitu, nikichoka kusoma naizima laptop yangu.

  • Mzee Mwanakijii ndio alikuwa the greatest seeder of all times...hope mpaka leo hii namuappreciate.

  • Kipindi hicho members wengi walikuwa kikazi zaidi tofauti na sasa asilimia kubwa ya threads zipo kimapenzi/kimahaba zaidi....(ooh samahani kwa hili MMU)
Tunaweza kuongezea mengine na mengine....:blah::blah::blah:
 
kipindi hiko ukienda mbagala kuna mbuzi anawika

Join Date : 29th February 2012
Location : mwanza
Posts : 1,136
Rep Power : 630
Likes Received213
Likes Given375

Asante sana Sizinga kwa kutukumbusha kumbukumbu hii. Enzi hizo upuuzi kama huu ulikuwa hadimu sana.
 
Last edited by a moderator:
watu mliozaliwa 1960s-late70s mna mbwembwe sana.bila shaka tutakapo fikisha umri wenu nasisi tutasama jf original ilikuwa 2011-2015.sio hii ya kwenu vijana 2025.lol
 
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao

Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that

Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data

Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY

Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.

Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:

MbilinyiTGNP.jpg

freeman-mbowe-chadema1.jpg

shivji-430x320.jpg

9fd1321df3d14e5d9e0dd127a4aaeae1_zan2.jpg

mjengwa_maggid.jpg

new-jenerali-ulimwengu1.jpg

Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF

President-Jakaya-Kikwete_portrait1.jpg
 
Kabla ya jambo forum kulikuwa na bsctimes, na kabla ya bsctimes kulikuwa na tanzanet, hizi zilikuwa forums zilizokwenda shule. Jambo radio kulikuwa na DJ Sure (if I remember correctly) pia tulikuwa tunaweza kusoma post au kujibu bandiko huku mziki unapiga. Kila ukikiingia Tanzanet ulitakiwa uandike "Subscribe" na "Unsubscribe" unapoondoka. Far we come from.
 
Wakati youngafrican ilipokuwa inakufa, bsctimes ikaibuka, lakini kabla ya hapo kulikuwa na kiwanja kama nyenzi, africaonline na vingine kadhaa... Hata ujio wa Jamboforum wengi walikuwa wakipita kule Gumzo na bsctimes. Data zilikuwepo za kumwaga... na utani wa hapa na pale.
 
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao

Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that

Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data

Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY

Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.

Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:

MbilinyiTGNP.jpg

freeman-mbowe-chadema1.jpg

shivji-430x320.jpg

9fd1321df3d14e5d9e0dd127a4aaeae1_zan2.jpg

mjengwa_maggid.jpg

new-jenerali-ulimwengu1.jpg

Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF

President-Jakaya-Kikwete_portrait1.jpg

Mkuu hao mbona bado ni wanachama hii JF....isipokuwa siku hizi ni wasomaji zaidi kuliko ilivyokuwa wakichangia kipindi kile.......Pia umemsahau Mzee Iddi Simba.....kabla ya Jambo Forum haijaanzishwa ilikuwa ikiitwa ECONOMIC FORUM........

Siku hizi ukitaka "mawe (mijadala)" ya nguvu kama ile ya bcs....nenda forum ya Great Thinkers.....angalau kuna watu wako serious kule....
 
Kabla ya jambo forum kulikuwa na bsctimes, na kabla ya bsctimes kulikuwa na tanzanet, hizi zilikuwa forums zilizokwenda shule. Jambo radio kulikuwa na DJ Sure (if I remember correctly) pia tulikuwa tunaweza kusoma post au kujibu bandiko huku mziki unapiga. Kila ukikiingia Tanzanet ulitakiwa uandike "Subscribe" na "Unsubscribe" unapoondoka. Far we come from.

Daaah najivunia kuwa mmoja watu wa mwanzo ku log in kwenye hizi social net works!

Enzi hizo MgonjwaUkimwi ni mtata kweli kweli na mwenzake fgrt ahahaha
 
Last edited by a moderator:
​Pia enzi hizo za jambo forum kuliibuka matapeli kama Field Marshall ES na utapeli wake wa kutafutia wabongo kazi US ila mpaka kwanza ulipe dollar 300....teeehteeh.
 
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao

Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that

Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data

Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY

Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.

Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:

Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF

President-Jakaya-Kikwete_portrait1.jpg

Hii ni kweli kabisa...huyu jamaa ilibakia kidogo augue kutokana na reference za hii JF(Ufisadi mwingi ulijulikana from here) manake uhuru wa sasa wa kuandika chochote au kufichua uozo wowote chanzo chake ni JF...kama mkumbuka hata magazeti yanatoa habari kutoka huku halafu source wanasema toka mtandaoni..kumbe ni JF...magazeti mengi hayakuwa huru
 
ilikuwa inaitwa DARHOTBOARD nakumbuka Jambo Forums kulikuwa na chat ya Uchaguzi Tanzania wakati wa uchaguzi wa 2005 ilikuwa inaleta burudani kwa wachangiaji
 
​Pia enzi hizo za jambo forum kuliibuka matapeli kama Field Marshall ES na utapeli wake wa kutafutia wabongo kazi US ila mpaka kwanza ulipe dollar 300....teeehteeh.
Hahahaaa huyu ndiye "Le Mutuz".....ni tapeli hadi kesho huyu!!
 
Jamboforums...usinikumbushe mijadala iliyokua na data za hali ya juu.Nilijifunza mengi sana kipindi kile.
 
uwa nawakubali sana member wa 2009 kushuka chini wengi walikuwa great thinker,ata leo ukibahatika kusoma comments zao utafurahi sana!!
ila siku hizi kuna bavicha,lumumba,uislam vs ukristo,team lowasa,team wekapicha,team bazazi naupuuzi mwingine mwingi kama huu hapa jf
itakuwa ni vizuri kwa sisi member wageni tujifunze kupitia thread za wakongwe hapa JF jinsi walivyokuwa na nidhamu
 
Daaah najivunia kuwa mmoja watu wa mwanzo ku log in kwenye hizi social net works!

Enzi hizo MgonjwaUkimwi ni mtata kweli kweli na mwenzake fgrt ahahaha

Heheheh Mkuu Malafyale si useme tu tulikuwa watata!! Umenikumbusha mbali, akina frg, YournameIsmine, caddy, pinky, sweetNcute,hasheemThabit, cleopatra, na wengine wengi, then 2006 tukampoteza jibaba aliye kuwa ameuawa kinyama Brazil.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom