dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Nadhani ujio wa CM zenye NET umechangia sana! kuwa na Member wa Ajabu ajabu na mambo haya ya maGAMBA na maGWANDA ndo yameharibu kabisa utakuta watu wanabishana kwa mambo yakiPUMBAVU kabisa nadhani ndomana wanachama Seriuos hawaonekani! Ila kuna Jukwaa la Great Thinkers kule! Ingawa pia kunakuwaga na Ushabiki bt angalau kuna mijadala ya watu timamu!