Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao
Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that
Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data
Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY
Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.
Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:
Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF
[*]Kipindi kile mtu ukigonga kopi buku(thread 1000) ulikuwa unatangazwa hapa na mods...tunakupa ma-congratulation kibaooo!!lakini siku hizi wapi bana!!
[*]Kipindi kile watu walikuwa wanakupotezea tu, hawagongi thanx wala nini, na hii haijalishi mtu, hata kama thread imeanzishwa na Invisible watu wanasoma wanakupotezea tu..rejea
[*]Kipindi kile ukichoka kusoma forums basi we ulikuwa unaenda jukwaa la music tu...aagh full burudani, nilikuwa napenda sana kusikiliza zilipendwa akina Mbilia Bel, Franco, Remmy ongala, Taarab n.k...dah siku hizi hamna kitu, nikichoka kusoma naizima laptop yangu.
[/LIST]
- Mzee Mwanakijii ndio alikuwa the greatest seeder of all times...hope mpaka leo hii namuappreciate.
- Kipindi hicho members wengi walikuwa kikazi zaidi tofauti na sasa asilimia kubwa ya threads zipo kimapenzi/kimahaba zaidi....(ooh samahani kwa hili MMU)
Tunaweza kuongezea mengine na mengine....:blah::blah::blah: