Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,093
- 32,909
Duh, mambo ni mengi lakini muda ni mchache.
Cc;Mmawia na vibaka wengine!
Huyo jamaa aliyejipinda hapo kulia kafanana na jamaa uliyemtag.Cc;Mmawia...!
Wanatamani picha hizi zifutike.tunapita kama hatuzioni vile..
Na vimatusi vya chinichini[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mpenda mabadiliko halisi anayetaka kupoteza kumbukumbu. Safari ya kutafuta mabadiliko imeanza siku nyingi nchini na wengine walifanya makubwa zaidi ya haya.Ahaaa hizi picha kuna watu wanatamani zipotee kabisa lkn haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu wa kuzungusha mikono unakaribia.
Msimu wa kuzungusha mikono unakaribia.
Hio unajua wewe.Hata wa kukata miuno viuno pia
Jr[emoji769]
Hio unajua wewe.
Huyo jamaa aliyejipinda hapo kulia kafanana na jamaa uliyemtag.
Sina haja ya kusubiri.Subiri picha
Jr[emoji769]
Sina haja ya kusubiri.