Ningesoma biblia kwa sababu kinatoa mwongozo wa kiroho, maadili na namna ya kuishi maisha yenye maana. Katika muda mfupi wa mwisho wa maisha, ningehitaji kitu kinachonisaidia kutafakari, kutengeneza amani ya moyo, na kuelewa thamani ya maisha, si maarifa ya dunia tu bali pia maandalizi ya maisha ya milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.