Tujikumbushe kidogo uchaguzi 2015

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
c5330387948deddd157486dc63b2ad45.jpg
1acd4e8f331e98966474bec8c534eab5.jpg
6775918a8350b4983e4b2446113f008a.jpg
678f37f4539c0f8139708fc8057014b4.jpg
b88b527d48161493fc41834115a745c7.jpg
4fd2aaee4fb600f94a9ced4227c78cd9.jpg
c04ffa96452367c55bbb7e818b53b3c7.jpg
 
nikiona hio rangi adi nahisi kichefuchefu sasa sijui kwa yaliowakuta na chama chao pendwa cjui wanajisikiaje
 
Mmmmh!! Watanzania ni wepesi sana kusahau cos haya matukio yote yanayotokea kipindi hiki chote but 2020 tutasahau na kufanya maamuzi yale yale tu
 
Angalia sana post zako.....!kumbuka waliosema Mzee akipewa uraisi atumalizi mwezi nchi itakwenda kwenye uchaguzi Leo anakiona chama chamoto(Nape)

Wako waliosema ikulu sio mochwari watz wasichague maiti(Bulembo),sijui mtu huyu leo yuko wapi...?mwenye taarifa zake ebu anijuze........!

Binafsi nakubaliana na maneno kwamba malipo ni hapa hapa....!bado wewe unayejiita barafuyamoto..............!
 
Back
Top Bottom