barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kwani hiyo picha ni feki niliyoweka?? Kuendana na uzi nimeweka picha bila maelezo yoyote kama kujikumbusha tu, kwani vipi mkuu umeelewa nini naona povu!!Angalia sana post zako.....!kumbuka waliosema Mzee akipewa uraisi atumalizi mwezi nchi itakwenda kwenye uchaguzi Leo anakiona chama chamoto(Nape)
Wako waliosema ikulu sio mochwari watz wasichague maiti(Bulembo),sijui mtu huyu leo yuko wapi...?mwenye taarifa zake ebu anijuze........!
Binafsi nakubaliana na maneno kwamba malipo ni hapa hapa....!bado wewe unayejiita barafuyamoto..............!