Tujikumbushe kidogo ubabe wa Job Ndugai Bungenii

Wapumbavu na mapopoma ni wabunge wote hasa wa ccm kumchagua na kumpendekeza Ndugai awe Speaker, zaidi utopolo ni kamati kuu na halmashauri kuu ya ccm kupendekeza jina la utopolo ndugai, nchi hii akili tope kila mahali, dikteta zungu anakuwa naibu spika.
 
Madaraka ya kulevya
Sema tena na tena ndugu yangu! Hakuna awamu watu waliolewa madaraka kama awamu ya tano. Watu walikuwa wanazungumza utadhani wana uwezo wa ki-Mungu. Anzie kwa yule mpwa wa Magufuli aliyekuwa UVCCM, Makonda, Ndugai mpaka kwa Magufuli mwenyewe.
 
Muda umeongea...

Kwa jeuri zake hizo ndiyo maana kaamua kuwaachia mambo yao wenyewe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom