Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,991
- 22,487
Haya majengo yalivunjwa? Miaka ya nyuma nafikiri scandnavia express ilikuwa ikitumia hizi ofisi.
Tarime kupitia Nairobi?! Shikamoo MhengaMara yangu ya kwanza kupanda basi ni mwaka 2001, kutoka Kijijini kwetu huko Mkoani Mara kwenda Tanga
sikumbuki ni basi gani maana nilikua ni mdogo sana na sijui Kiswahili vizuri
Safari kutoka Tarime kupitia Nairobi Kenya mpaka Korogwe Tanga.
It was an adventure to me, sikulala kabisa😅😅😅
Wako poa sana. Kuna Aylan a.k.a Ajuju, Avel a.k.a Mia, Kuna Bryan, wote ni ndumez za nguvuMzee Shkamoo, vp mzee wajukuu hawajambo?
HongeraNimepanda mabasi yafuatayo:-
- Railways
- Kamata
- Kwacha
- Nyota
- Zainabs
- Movement Star
- Okoa
- Safina
- Amina/ Aluta Continua
- Matema Beach
- Tawaqal
- Mwanahapa
- M Sleeping
- Sayuni
- Twiga/ Ndingo
- Tahfif
- Tanganyika Bus
- Bunda Bus
- Madoadoa
- Trans Afrika
- Zakaria
- Embakassy
- Urafiki
- Scandinavia
Mbeya to mwanza ilikua unaunga,mbya Iringa unalala, iringa -dom unalala dom-singida unalala,ukitaka shotcut itigi au manyoni treni.Kuna mdau alisema walitumia siku 7 kutoka Mbeya to Mwanza 😃
TULIKULA RAHA SANAAASongea to Dsm, siku 3.
Aseeh watu waliteseka hatariii. Lol
sasa umejuaje songea to dsm siku 3 mkuuHapana
Kwa kweliTULIKULA RAHA SANAAA
Niliambiwa na wazazi, ndugu.sasa umejuaje songea to dsm siku 3 mkuu
Hapo sauwaaNiliambiwa na wazazi, ndugu.
PoaahHapo sauwaa
Late 1960s hadi mid 1970sKama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote.
View attachment 3276768
Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?