Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Jamaa mwenye tshirt nyekundu ni mwizi anashinda mochuari ya muhimbili anajichanganya na wafiwa akikuomba Smart phone umeumia share na wote
Kweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaahWatu wabunifu sana hasa katika sehemu za uzuni ni rahisi sana kumtapeli mtu.
Me kuna siku nilipita katika hospitali akanifata jamaa ananiambia mtoto wake anaumwa ameshindwa kula chochote hivyo nimuongezee pesa amkanunulie mtori!nikatoa kumpa baada ya miezi nikamkuta yupo hospitali ingine tena anaongea na rafki vilevile km alivyonifanyia me!nikamuuliza mtt hajapona bado akajibu ndio nikamwambia twende tukamuone wote jamaa akaingiza upepo nikambana hapohapo nikamkwida shati twende tukamuone mtt tukaenda nae kishingo upande hadi wodini anatuelekeza kwa mbali yule nikamkaba twende mbona akaanza kuomba msamaha!nikamfanyia ukauzu nikamtoa ela zote alokuwa nazo nikampa mzee mmoja mlemavu pale!maana ndo alistaili ile ela sio huyu tapeli
Iliniuma asee nikaona bora ela yng nimpe anayehitaji haswa!me sijisifii kuhusu kumsaidia mtu ni mwepesi ila nikijua uliniingiza chaka nalala na wewe mbele!nilimtoa buku6 pale mbona nikampa mzee mlemavu mgonjwaKweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaah
Zaidi ya dagaaKweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaah
View attachment 361286
Jamaa mwenye tshirt nyekundu ni mwizi anashinda mochuari ya muhimbili anajichanganya na wafiwa akikuomba Smart phone umeumia share na wote
Hiyo leso afanyie nini kwa mfano?Sasa anakuomba smartphone afanyie nini kwa mfano? Kwanini asikuombe leso?
Hahahaha si ndio hapoSasa anakuomba smartphone afanyie nini kwa mfano? Kwanini asikuombe leso?
Huyo mleta mada anasema jamaa akikuomba smartphone umeumia. Sasa vipi akiamua kukuomba leso badala ya smartphone. Unaumia?Hiyo leso afanyie nini kwa mfano?
Hapana! Maumivu ya Leso, na maumivu ya SP ni tofauti kabisa!Huyo mleta mada anasema jamaa akikuomba smartphone umeumia. Sasa vipi akiamua kukuomba leso badala ya smartphone. Unaumia?
Tofauti ikoje?Hapana! Maumivu ya Leso, na maumivu ya SP ni tofauti kabisa!
Kwahiyo ukiibiwa LESO inayouzwa 500 NA SMARTPHONE inayouzwa 200,000. ni sawa?Tofauti ikoje?