Aende hospital gani Kati ya Muhimbili na Aga khani?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,821
1,874
wadau wa Afya Heshima kwenu!

Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali!

Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu!

Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili na Aga Khani?
 
Back
Top Bottom