Tujihadhari na mwizi wa Muhimbili mochuari

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,975
Likes
5,348
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,975 5,348 280
mwizi-jpg.361286

Jamaa mwenye tshirt nyekundu ni mwizi anashinda mochuari ya muhimbili anajichanganya na wafiwa akikuomba Smart phone umeumia share na wote
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,647
Likes
6,074
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,647 6,074 280
Watu wabunifu sana hasa katika sehemu za uzuni ni rahisi sana kumtapeli mtu.
Me kuna siku nilipita katika hospitali akanifata jamaa ananiambia mtoto wake anaumwa ameshindwa kula chochote hivyo nimuongezee pesa amkanunulie mtori!nikatoa kumpa baada ya miezi nikamkuta yupo hospitali ingine tena anaongea na rafki vilevile km alivyonifanyia me!nikamuuliza mtt hajapona bado akajibu ndio nikamwambia twende tukamuone wote jamaa akaingiza upepo nikambana hapohapo nikamkwida shati twende tukamuone mtt tukaenda nae kishingo upande hadi wodini anatuelekeza kwa mbali yule nikamkaba twende mbona akaanza kuomba msamaha!nikamfanyia ukauzu nikamtoa ela zote alokuwa nazo nikampa mzee mmoja mlemavu pale!maana ndo alistaili ile ela sio huyu tapeli
 
L

Levictus

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
648
Likes
496
Points
80
L

Levictus

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
648 496 80

Kweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaah :(:(:(:(:(:(
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,647
Likes
6,074
Points
280
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,647 6,074 280
Kweli kuna watu mmejaaliwa ukauzu daaaah :(:(:(:(:(:(
Iliniuma asee nikaona bora ela yng nimpe anayehitaji haswa!me sijisifii kuhusu kumsaidia mtu ni mwepesi ila nikijua uliniingiza chaka nalala na wewe mbele!nilimtoa buku6 pale mbona nikampa mzee mlemavu mgonjwa
 
1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,321
Likes
2,957
Points
280
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,321 2,957 280
View attachment 361286
Jamaa mwenye tshirt nyekundu ni mwizi anashinda mochuari ya muhimbili anajichanganya na wafiwa akikuomba Smart phone umeumia share na wote

Inawezekana huyu mtu hahusiki kabisa, isipokuwa ni chuki binafsi tu dhidi yake...mitandao ni hatari sana....
 
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Messages
1,449
Likes
1,647
Points
280
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2016
1,449 1,647 280
Sasa anakuomba smartphone afanyie nini kwa mfano? Kwanini asikuombe leso?
 
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Messages
1,449
Likes
1,647
Points
280
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2016
1,449 1,647 280
Hiyo leso afanyie nini kwa mfano?
Huyo mleta mada anasema jamaa akikuomba smartphone umeumia. Sasa vipi akiamua kukuomba leso badala ya smartphone. Unaumia?
 
weed

weed

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Messages
2,123
Likes
2,173
Points
280
weed

weed

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2012
2,123 2,173 280

Muhimbili hata kanisani pia kama unafanyia ibada pale..kuna wezi hua wanajichanganya na wafiwa,ukizubaa tu lazima uisome namba
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,953
Likes
7,590
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,953 7,590 280
Huyo mleta mada anasema jamaa akikuomba smartphone umeumia. Sasa vipi akiamua kukuomba leso badala ya smartphone. Unaumia?
Hapana! Maumivu ya Leso, na maumivu ya SP ni tofauti kabisa!
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,088
Likes
9,741
Points
280
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,088 9,741 280
Hahaha dah hii pesa inatafutwa kwa njia nyingi sana
 
N

NEPTUNE

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
546
Likes
173
Points
60
Age
50
N

NEPTUNE

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
546 173 60
Inawezekanaje aibe simu na asibadili eneo la kufanyia utapeli? Kwa kuwa aliiba na inafahamika alipo akakamatwe apelekwe mbele ya vyombo vya sheria.
 
Forum statistics

Threads 1,236,683
Members 475,218
Posts 29,266,857