Tujihadhari na mwizi wa Muhimbili mochuari

Ina maana kama ameshajulikana linalofuata ni kuwekewa mtego tu.!
 
Watu wabunifu sana hasa katika sehemu za uzuni ni rahisi sana kumtapeli mtu.
Me kuna siku nilipita katika hospitali akanifata jamaa ananiambia mtoto wake anaumwa ameshindwa kula chochote hivyo nimuongezee pesa amkanunulie mtori!nikatoa kumpa baada ya miezi nikamkuta yupo hospitali ingine tena anaongea na rafki vilevile km alivyonifanyia me!nikamuuliza mtt hajapona bado akajibu ndio nikamwambia twende tukamuone wote jamaa akaingiza upepo nikambana hapohapo nikamkwida shati twende tukamuone mtt tukaenda nae kishingo upande hadi wodini anatuelekeza kwa mbali yule nikamkaba twende mbona akaanza kuomba msamaha!nikamfanyia ukauzu nikamtoa ela zote alokuwa nazo nikampa mzee mmoja mlemavu pale!maana ndo alistaili ile ela sio huyu tapeli
Lakini mkuu huoni kama unaua vipaji vya watu?
 
Well done - wewe mahili kweli kweli, be blessed.
 
Back
Top Bottom